Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya ulinzi taratibu zote nazijua isipokuwa nataka nijue natakiwa kuwa na pesa ngapi kama mtaji ili lengo langu litimie? Karibuni wadau wakati ndo huu.
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
TANGAZO:
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA...
Za sahivi wana jamii,
Kama kichwa cha habari kinavyosema... Naomba mwenye kujua riba na taratibu za mikopo kutoka bank ya posta. Mimi mtumishi nataka mkop wa mshahara. Asanteni.
Dar es Salaam. The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) fell four positions in Africa Financial Market Index 2018 ranking.
The index was published by South African Absa group. The AAFMI 2018 has...
Habarini jamani... Naomba mwenye source ya historia ya kiwango cha kubadilishia fedha TZSH vs USD hasa kwa mwaka 1961 tulipopata uhuru anisaidie.., nime-google mpaka nimechoka. Kwa mfano, kwa...
Habari za sasa hivi wanajamvi poleni na majukumu ,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya mafanikio na wanasema mafanikio hutokana na jinsi ambavyo tutamia fursa ,mimi kwa upande wangu ni...
Naangalia hapa hizi tuzo za tanzania top 100 campanies mpaka sasa wengi wa wamiliki wa hizi kampuni naona ni masingasinga,
naona hizi tuzo watanzania tumetupwa nje
inabidi tujipange miaka ijayo...
Wakuu habari za majukumu..Ukiachilia mbali taaluma za kila mmoja lakin natumaini ni ngumu kufikia malengo yako kiuchumi bila kuwa na Plan B
Mim ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja wapo hapa...
Tokea nianze kupata ufahamu mwishoni mwa miaka ya 80 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000, sikuwahi kuona mtu anakula tikiti maji wala mimi kula... Je Tunda hili limepata umaarufu kwa ajili ya nini ...
Habarini wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 20. Nilimaliza form 6 mwaka huu combination ya PCB nikapata div II. Ni kwamba hali yangu imekuwa ngumu mno hasa ktk kipindi hiki cha chuo kwa sababu mzee...
Ikiwa bado watanzania wakisuburi hatma ya mazungumzo kati ya serikali na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick yenye makao makuu yake nchini Canada, kampuni hiyo imeanza kujinasua, hali...
Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema.
Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara...
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,
Lengo langu nifanye biashara nyingine...
Habari za mda huu ndugu zangu naombeni kuuliza ka waha Tanzania kwetu kuna benki yoyote ambayo haina makato ya kila mwezi na kama ipo ni ipi ili nikafungue account na mm niwek kihakiba changu...
Kwanza nawasilimu!
Pili...
Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Income na...
Habarini wadau,
Kwakweli ni halali mashirika ya umma kufa kutokana na uzembe na uzito wa kufanyakazi kiasi kwamba wanajivuta sana maongezi binafsi yametawala hawako serious na wateja...
Habari za mda Huu wakuu, nataka kufanya biashara ya Mchele, naomba kupata mtu anayesafirisha mchele kutoka Kahama na kupeleka mikoa mingine anisaidie kunipa taarfa ya bei ya Mchele kwasasa na...