Wengi wetu huwa tunapenda kuziuza smartphone zetu hasa pale tunaposikia kuna toleo jipya limeingia
Lakini sio kitu kirahisi. Ni wazo zuri kufikiria kuuza simu uliyoitumia kwa mda mrefu ili uweze...
Habarini wadau. Juzi nimepokea sms toka Vodacom kuwa nitakatwa tshs 300. Hii imekaaje jamani,kwani ni lazima tuwe tunatumia mpesa mara kwa mara ktk kufanya miamala yetu.?! SMS yenyewe hii hapa...
Kampuni moja ya chakula mjini San Francisco, nchini Marekani, imevumbua mfumo wa kukuza nyama ya kuku katika maabara, kutokana na seli ya unyoya wa kuku.
Ladha ya nyama hiyo ni sawa na ile ya...
FOREX TRADING SHORT COURSE
Petram Corporation inakuletea course fupi ya Forex Trading. Jifunze namna ya ku trade fedha za kigeni mtandaoni. Jenga kipato cha pili na rahisi.
Training contents...
Habari za wakati huu wakuu?
Nimeshangazwa kidogo na jambo nililolishuhudia leo kutoka kwa hawa watendaji wa TRA,nimeamua kuja hapa ili niweze kupata ufafanuzi ikiwa ni sahihi ama laa!
Hawa jamaa...
Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya...
Hi there, GT
Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii...
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficate ya planing management natafu mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote,nataaluma ya kupika vyakula aina yote na nina uwezo wa...
Habarini zenu wakuu!
Naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwanunulia wateja vifurushi Kama Cheka zogo kwa haraka.
Mimi huwa mteja akihitaji kifurushi naanza kukwangua vocha na kuingiza kwenye simu...
Mwenye uelewa mzuri wa busta kwa ajili ya music ninamziki lakini sina busta, na nimeshauliwa nitafute busta ili mziki uwe vizuri. Tafadhali nawasilisha
kenya nasikia kuna masoko yenye vitu vya mitumba kama viatu,mabegi na mikansa ya kiunoni,ni vizuri mno,kama kuna mdau yuko humu analijua soko hilo anielekeze
Habari bosses!
Leo napenda ni-share na wajasiriamali wenzangu MBINU chache zitakazo saidia kufahamu Kwanini idea yako ya biashara HAITAFANIKIWA.
Nimeona niliweke hili kinamna hii kwasababu watu...
Brad Gordon, a former chief executive of Acacia Mining agreed that the Mining Development Agreement with Tanzania were bogus. Gordon was quoted by Telegraph Saying this:
“The industry can be...
Tanzania recycled Oil zimezagaa kila pahali,matumizi na maelekezo yasiyo sahihi ya vilainishi yanayofanywa na mafundi garage na wenye maduka ya oil yanachangia kuua magari na vipuri
Hii inatokana...
ndugu zangu wanaJF salamu, JAMANI MIMI NA WENZANGU WATATU TUNA ENEO LETU AMBAPO KUNA MWAMBA AMBAO UNATOA DHAHABU KATIKA KIWANGO KIZURI LAKINI KUTOKANA NA KUKOSA VITENDEA KAZI VYA KISASA...
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada...
Habari za wkend wakuu
Mda umefika wa mimi ku own kampuni yangu sasa,nimekaa nimejitahidi kuangalia ideas mbali mbali ila nikaona hii ya video shooting/editing itanifaa zaidi kwa sababu pia ina...