Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habar wakuu wa JF.... 1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake 2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Wapendwa wana jf, habari zenu! Naomba kufaham bei ya korosho zilizo banguliwa (nuts) kwa kilo moja ni shiling ngapi hapa dar...bei ya jumla na rejareja...
0 Reactions
199 Replies
48K Views
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie. 1.Dar 2.Dodoma 3.Arusha 4.Mwanza 5.Tanga 6.Morogoro 7.Mbeya...
3 Reactions
63 Replies
11K Views
Nimekaa nawaza ujinga ujinga tu, Hivi ni kweli dr. Charlse kimei aliekua Mkurugenzi wa Crdb ameamua kupumzika nafasi hiyo kabla ya muda wake kuisha au ndio mpango wa kuelekea kule alikoambiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau Msaaada wa mawazo kusafirisha mzigo toka Australia Dinension 40cm x 20cm x 15cm weights 11 kg.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Ms. Mary Tesha ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Taxify iliyozinduliwa hivi karibuni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Africa 118 - Infomoby which provides a digital marketing platform for small and medium-sized enterprises (SME’s) in Africa, and NORAD (Norwegian Agency for Development) partnered to make it easier...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
What is Islamic Banking? It is complying with the Shariah laws of no Interest banking. Amana is the first Muslim bank in Tanzania entirely Shariah compliant. Amana Bank Ltd. | Tanzania's First...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda Aweze kunisaidia ASANTENI Karibuni!!!!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wakuu naimani mko salama Niende kwenye lengo la uzi,kifupi nimetumiwa fedha kupitia GOOGLE ADSENSE na niliweka njia ya malipo iwe WESTERN UNION na swala linapokuja kunitatiza ni kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuna uvumbuzi mmoja wa bag la wanafunzi shuleni, bag hilo lina features tofauti kabisa na mabag yaliyopo. Bag hizo zinauzwa Marekani, nimejaribu kugoogle hiyo kampuni nimeona kwenye...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
STARTIMES YAOMBA RADHI WATEJA WAKE. Kampuni ya StarTimes Media (T) Ltd, imewaomba radhi wateja wake pendwa na umma kwa ujumla kwa kutopata chaneli za bure kwa muda sasa. Taarifa iliyotolewa na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
. "Huwezi kujiamulia maisha yako ya baadae, Bali una uwezo mkubwa wa kuamua kubadili tabia zako za sasa, kisha tabia zako ndizo zitakazokuamulia maisha ya ubadae wako". KIVIPI? Je, tabia zako...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Mimi ni mdau wa benki husika ambaye nimeanza kufuatilia mkopo wa biashara kulingana na matangazo yao kuwa wameboresha huduma zao pia muda wa kuomba mkopo umepungua hadi wiki 2 iwapo utakidhi...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Leo naomba mnitoe ushamba kidogo, jamani hivi wanaposema uchumi wa kati hua wanamaanisha nini? Kwani kuna level ngapi za uchumi?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika Watanzania 500 badi 457 wanalia hali mbaya ya Uchumi a.k.a Vyuma Vimekaza halafu hapo hapo tena kuwa Watu wanathubutu kabisa Kujenga Maghorofa makubwa makubwa ya Kupangisha ( Apartments )...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Back
Top Bottom