Napenda kujua Serikali inatumia kanuni gani kukadiria Kodi ya Madini mbalimbali ambayo Mteja katoka nje kaja kununua ndani ya nchi, sasa anataka kulipia Kodi ili aondoke na Madini yakiwa na...
Mwanahistoria na Mdau wa Maendeleo, Francis Daudi amefanya Tafiti kuhusu Mahusiano ya Kiuchumi kati ya Tanzania na India toka Mwaka 1960. Kufahamu mahusiano hayo, fursa za kiuchumi zilizopo kwa...
Habar ya jion wakuu??
Baada ya kupigapigana na kufilisika huko niliko kuwa kwenye biashara zangu za mbao niliamua kurudi home na kwa maana kwa muda sana nilikuwa nashamba nilinunua kipindi nipo...
Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha katika Mafuta na Gesi Asilia, Leonard Constantine Amefanya ‘Risachi’ kuhusu Ushiriki wa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Micro, Small, and Medium...
Wasalamu,
hizi ni terminology za TRA.nafahahamu TIN lakin VRN sifahamu wala sijui faida za kuwa nayo wala hasara za kutokua nayo.naomba kupewa shule jaman!
Wanajamvi Amani kwenu.
Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi.
Ninatanguliza shukurani.
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kwa hili maana nimekaa nikijiuliza sana bila kupata jibu hivi kweli soko la hela za kizamani lipo au ni utapeli tu?
Maana hii habari nimeisikia kitambo sana kuwa...
Jamani humu ndani,kuna kifaa ninataka kuagiza ulaya au marekani, nimenge na maduka mbali mbali na makampuni ya usambazaji nimeambiwa hawawezi sababu hicho kifaa hakijawa-registered na TFDA.sasa...
Habari wanajukwaa.
Katika pitapita zangu za mihangaiko nimekuwa nikifuatilia namna ya kupata Madini tajwa hapo juu. lengo langu ni kununua toka nje ya nchi kwa wachibaji wadogo kisha kuja kuuza...
Heshima kwenu wakuu, wakati tunaenda kumalizia malizia mwaka juzi J5 ilikuwa siku nzuri kwa jeff bezos ambapo report iliyotelewa na shirika la bloomberg ilionyesha yafuatayo:-
>Amazon ilipata...
Habari wana JF
Nina wazo moja la biashara ambalo naomba ushauri. Wazo langu ni hili nataka niwaunganishe wauzaji na wanunuaji wa mazao na mifugo kwa njia ya mtandao. Nina uelewa na Blogs hivyo...
2. USIZITUMIKIE PESA(don't work for money).
hii ndio siri namba mbili baada ya kuangalia ile namba moja na mkubwa kuliko zote.kunawatu wanaamini kuwa wakijibidisha na kujitesa kwakufanya kazi...
Habari za Muda Huu Mkuu?
Kumekuwa na mijadala mingi sana katika jamii hasa kwa vijana wanaopambani kutafuta maisha. Jambo lenyewe liko hivi:-
Mara nyingi vijana wanapoanza kuona mwezi {pesa}...
Fastjet imetoa tamko Leo kwamba Biashara yake ya Tanzania haina faida na kwamba inaweza kufunga virago kama isipopata mtaji mwezi huu. Hii ndio statement walioitoa London stock exchange...
Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.