Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hamjambo wadau wapenda maendeleo, katika pita pita zangu za kuongeza ujuzi wa maisha, niliwahi kusoma kitabu cha RICH DAD POOR DAD kilichoandikwa na ROBERT KIYOSAKI, jambo mojawapo nililojifunza...
11 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana JF. Napenda kujua kama hi pump ya maji aina ya"MONEY MAKER PUMP"kama inaweza kunisaidia kwa kilimo cha bustani maeneo ya MOROGORO bush?ninampango wa kulima hk 10 za nyanya,matango na...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Samahani wakuu, kwa wale wenye uzoefu na mambo ya ujenzi, je? Haka kamjengo kanaweza kugharimu sh. Ngapi hadi kanaisha?
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Ndg wana JF Nina biashara ambayo inaendelea ina niingizia km Lak5 toa Gharama zote kwa mwenzi! Lakini biashara hii inahitaji mtaji mkubwa nimedunduliza kwa kipindi cha mienzi 6hivi Nina km 4ml...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habar..wakuu!! Wenye ujuzi kidogo na haya mambo ya ujenz Baad ya kujichangachang nimefanikiwa kupat kaeneo sasa nilikuwa naitaji kuanza ujenz lakn kwa awamu km mnavyojua life lenyew ni la kuunga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Bussness account(akaunti za biashara) ni akaunti ya kawaida kabisa kama nyingine inayotumia jina"brand" ya biashara fulani. Zinaweza kuwa pia akaunti binafsi za watu maarufu na za watu wenye...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wapendwa, nimesikia kuna uwezekano wa kupata mkopo online kutoka kwa Tanzania Vision Fund. Je, kuna mwenye ufahamu na jambo hilo na inakuwaje?
0 Reactions
9 Replies
10K Views
From Reuters: Congo state miner warns Randgold on transfer of Kibali mine to Barrick Congo’s state miner Sokimo warned Randgold Resources on Friday that Sokimo would “assert its rights” in...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Brazilian oil company Petrobras has agreed to an $853.2 million settlement with U.S. and Brazilian authorities to end yearslong investigations tied to one of the biggest corruption schemes ever...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Tupeane uzoefu wale waliochelewa kutoboa. Najua kukata tamaa katika kutafuta Ni kosa kubwa na Ni usaliti juu ya wenye high hustling spirit. Ni usherani mkubwa kukata tamaa. Ndo maana naamini wapo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeambatanisha Proforma Invoice. Kwa wale wenye uelewa na mambo ya kuclear mzigo bandarini je, itanigharimu kiasi gani kuutoa mzigo bandarini?? Bado sijailipia nimewasiliana na supplier kwenye...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
ZIFAHAMU AINA ZA KODI NA VIWANGO VYAKE KWA MFANYABIASHARA MDOGO NA WA KATI. [emoji1006]: KODI NI NINI?  Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kutoka katika malipo ya mishahara, utoaji wa...
8 Reactions
39 Replies
13K Views
Msaada kwa anaefahamu haya ni madini gani? Ukiweka juani yanang'aa sana & colour yake ni green
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza naanza kutoa pongezi kwa ATCL kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuliweka hai shirika letu la ndege. Natoa pongezi pia kwa kuanza safari za nje ya nchi katika kupanua wigo wa huduma za ATCL. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Kwa mujibu wa tcra ving'amuzi vinavyotoa huduma ya channel za ndani Bure ni STARTIMES, Continental...ila cha ajabu STARTIMES chaneli za ndani sio bure kwa wale wenye ving'amuzi vya dishi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kampuni ya ndege ya Fastjet kesho itaanza safari zake kwa kutumia ndege mpya aina ya Embraer E190 na kuwatoa hofu wateja wake kutokana na ubora wa ndege hizo. Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti. Pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
* Shares plunge over 50 pct * Warns of low cash * Could exit largest market Tanzania Sept 26 (Reuters) - Fastjet Plc’s shares shed more than half of their value on Wednesday after the African...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom