Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ref my previous post Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa...
40 Reactions
119 Replies
14K Views
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
5 Reactions
110 Replies
27K Views
Supermarkerts/Retailers wakubwa mashariki na kusini mwa Afrika mara kadhaa zimeshindwa kujiendesha ndani ya Tanzania. Shoprite, Nakumatt na Uchumi ni mifano. Na supermarkets ndogo/uwezo wa kati...
2 Reactions
73 Replies
8K Views
Hamjambo wadau na watafutaji wa pesa, Mimi binafsi nilifungua biashara yangu ya kwanza nilipokuwa mwanafunzi wa sekondari ambayo ilikuwa ya duka dogo la rejareja ila biashara hii ilikufa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye tarifa za Vodacom kuwa kwa mwaka huu wanatarajia kutoa gawio kwa kila hisa Tshs.84. Ninauliza, Je gawio imekwishatolewa? na kama bado watatoa lini?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
N duka ambalo kwakweli nimeliinua tangu lilipokuwa chini mpk sasa hali inaridhsha Sasa nnataka kuongeza bidhaa ambazo kwakweli sijawahi kuuza....bidhaa hizo ni Maziwa ya Tanga fresh na...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Habari za wapambanaji wenzangu katika jukwaa hili. Leo napenda tujadili kidogo juu ya hawa watu wanao jiita wahamasishaji wa biashara na ujasiriamali au kujiajiri. Binafsi nimekuwa nawafuatilia...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Kilimanjaro waongoza kwa kutumia benki UTAFITI umebaini kwamba Mkoa wa Kilimanjaro, unaongoza kwa kutumia huduma za kibenki kwa asilimia kubwa na kuwa na idadi kubwa ya watu waoelewa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunasema ili ufanikiwe ni muhimu ukafanya kile unachokipenda. Ni kweli hili kabisa ila sasa katika kufanya kuna mambo utakutana nayo ambayo huyapendi kabisa. Hayo mambo yanaweza kuwa ya muhimu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mtafutaji, naishi Dar maeneo ya chanika. Kitaaluma ni mwanasheria ila kwa sasa nafanya biashara katika ofisi yangu binafsi. Lengo la mimi kuja kwenu ninahitaji...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau habari je kuna mtu mwenye elimu kuhusu business online naomba anisaidie ambayo kwa baadhi ya vijana wameacha kazi kama ya uhasibu jamaa mmoja alisomea uhasibu lakini hataki kuajiriwa bali...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
habarin ndg zangun,,,ni mda mrefu sana,,nimetaman kufanya biashara ya dhahabu,,ila muda nilikuwa nakosa,,kutokana na majukumu,,,sasa nina muda wa kufanya hiyo biashara,,naomba kuelimishwa,,1.mzigo...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Je ni sahihi Marekani kuongeza ushuru kwa bidhaa za Uchina? Na kama ni hivyo, kwa nini ilenge zaidi bidhaa za chuma? Kwa takwimu zinavyoonesha, siyo siri tena kwamba nchi ya Uchina ndiye...
2 Reactions
0 Replies
761 Views
Ndugu zangu habari?. Nahitaji kufungua biashara ya duka la madawa naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kupata kibali kutoka TFDA
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ndugu yeyote mwenye uhitaji wa simu hiyo ambayo vodacom wanajinadi kuwa ni OFA na kuiuza kwa bei ya elfu95. Hiyo Itel gado yao ndani wanaeleza kwamba "utapata GB 3 kila mwezi kwa miezi 4 BURE"...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello Watanzania Wenzangu. Maisha yamekua magumu sana ktk kipindi hiki, kwa bahati nzuri nyumbani nina kitega uchumi, mashine ya Kutengenezea Juice Ya Miwa, sipo hapa kwa lengo la kuiuza Hapana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Real estate agents are increasingly finding it difficult to attract tenants for commercial premises in Dar es Salaam as residents adapt to new economic realities. A week-long...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika! Utaratibu ukoje? NB: Process za brela nazijua, Tuanzie kwenye vibali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom