Ref my previous post
Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia
ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa...
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Supermarkerts/Retailers wakubwa mashariki na kusini mwa Afrika mara kadhaa zimeshindwa kujiendesha ndani ya Tanzania. Shoprite, Nakumatt na Uchumi ni mifano.
Na supermarkets ndogo/uwezo wa kati...
Hamjambo wadau na watafutaji wa pesa,
Mimi binafsi nilifungua biashara yangu ya kwanza nilipokuwa mwanafunzi wa sekondari ambayo ilikuwa ya duka dogo la rejareja ila biashara hii ilikufa...
Nimesoma kwenye tarifa za Vodacom kuwa kwa mwaka huu wanatarajia kutoa gawio kwa kila hisa Tshs.84. Ninauliza, Je gawio imekwishatolewa? na kama bado watatoa lini?
N duka ambalo kwakweli nimeliinua tangu lilipokuwa chini mpk sasa hali inaridhsha
Sasa nnataka kuongeza bidhaa ambazo kwakweli sijawahi kuuza....bidhaa hizo ni Maziwa ya Tanga fresh na...
Habari za wapambanaji wenzangu katika jukwaa hili.
Leo napenda tujadili kidogo juu ya hawa watu wanao jiita wahamasishaji wa biashara na ujasiriamali au kujiajiri. Binafsi nimekuwa nawafuatilia...
Kilimanjaro waongoza kwa kutumia benki
UTAFITI umebaini kwamba Mkoa wa Kilimanjaro, unaongoza kwa kutumia huduma za kibenki kwa asilimia kubwa na kuwa na idadi kubwa ya watu waoelewa na...
Tunasema ili ufanikiwe ni muhimu ukafanya kile unachokipenda. Ni kweli hili kabisa ila sasa katika kufanya kuna mambo utakutana nayo ambayo huyapendi kabisa. Hayo mambo yanaweza kuwa ya muhimu...
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mtafutaji, naishi Dar maeneo ya chanika.
Kitaaluma ni mwanasheria ila kwa sasa nafanya biashara katika ofisi yangu binafsi.
Lengo la mimi kuja kwenu ninahitaji...
Wadau habari je kuna mtu mwenye elimu kuhusu business online naomba anisaidie ambayo kwa baadhi ya vijana wameacha kazi kama ya uhasibu jamaa mmoja alisomea uhasibu lakini hataki kuajiriwa bali...
habarin ndg zangun,,,ni mda mrefu sana,,nimetaman kufanya biashara ya dhahabu,,ila muda nilikuwa nakosa,,kutokana na majukumu,,,sasa nina muda wa kufanya hiyo biashara,,naomba kuelimishwa,,1.mzigo...
Je ni sahihi Marekani kuongeza ushuru kwa bidhaa za Uchina? Na kama ni hivyo, kwa nini ilenge zaidi bidhaa za chuma?
Kwa takwimu zinavyoonesha, siyo siri tena kwamba nchi ya Uchina ndiye...
Ndugu yeyote mwenye uhitaji wa simu hiyo ambayo vodacom wanajinadi kuwa ni OFA na kuiuza kwa bei ya elfu95. Hiyo Itel gado yao ndani wanaeleza kwamba "utapata GB 3 kila mwezi kwa miezi 4 BURE"...
Hello Watanzania Wenzangu.
Maisha yamekua magumu sana ktk kipindi hiki, kwa bahati nzuri nyumbani nina kitega uchumi, mashine ya Kutengenezea Juice Ya Miwa, sipo hapa kwa lengo la kuiuza Hapana...
Dar es Salaam. Real estate agents are increasingly finding it difficult to attract tenants for commercial premises in Dar es Salaam as residents adapt to new economic realities.
A week-long...
Habari wana JF,
Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika!
Utaratibu ukoje?
NB: Process za brela nazijua,
Tuanzie kwenye vibali...