Hivi kuna fixed account nawea kuweka USD tu NMB? Nikitumia ya watoto vipi?
Nataka kila mwezi naweka usd 200 ila kwenye fixed account hasa ya watoto for at least two years.
Sijui kama zipo za USD
Habari zenu wadau
Pitia uzi wangu ulopita wa kujenga kwa m. 3, ha ha haikutosha badala yake nilitumia kama m.10 na zaidi nyumba ya vyumba viwili na choo imesimama na bati imegongewa sasa tatizo...
Habari zenu GT! Nina mpango wa kuanzisha biashara ili niweze jikwamua na tatizo la ajira, Naomba kujua nnatakiwa kuanza kupata kipi kati ya TIN (Taxpayer Identification Number) na Leseni ya biashara?
Habari za mida wasaka tonge wenzangu,
Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara.
Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata...
Hello JF,
Nimekutana na fursa ya concurrency ambayo bado ni new na ina market penetration.
So karibuni kupata high lights zake na kwa zaid nichek inbobo......
Wasalam.
Ni matumamaini yangu kuwa wote tupo salala,
Pamoja na vuguvugu kubwa la siasa , lakini kwa mjasiriamali hakuna game tamu kuliko yote kama kufinyanga PESA, mengine baadae...
Sitatumia maneno mengi katika hili. Wanasema picha zinazungumza maneno 1000.
Ya kwanza ni hapo Rwanda tu unapoweza kwenda hata na basi.
Ya pili hapo chini ni huko Marekani, Ulaya na hadi China...
Habari wakuu.. Samahanini jama, kwa wale wanaofahamu kiasi wanacholipwa wale jamaa ambao ni mawakala wa kukata tiketi za mabasi ya kwenda mikoani naomba anijulishe. Asanteni.
Mradi wa usafirishaji wa abiria ujulikanao kama TAXIFY ulionekana kama mkombozi wa abiria kwa Mwanza kama ilivyo UBER Kwa Dar es salaam.
Lakini jambo LA ajabu kwa wiki nzima sasa hali imebadilika...
Muda si mrefu nimepàta preshaa baada ya kukuta account yangu pesa hàipo imepungua niliacha trading 23 zikirun ili baadae kukikucha nizitazàme,,natazama midà hii nakutà zimekuwà cànceled ñà pesà...
Wakuu,
Wale wafanyabiashara wa dagaa hamieni Uganda na Kenya nako wanavua dagaa na soko kubwa liko Sudani Kusini hawa wanaoendesha operation ziwa Victoria wasiwaathiri.
Multinational law firm Herbert Smith Freehills (HSF) has raised concerns around Tanzania’s new integrity pledge for mining companies, questioning whether it meets international best practice...
Habari, Nililima mihogo mwaka jana ila mpaka sasa ninekosa soko , Mbegu ya mihogo niliyopanda inaitwa MKIU, Jana nikawaza nikasema labda naweza kutengeneza unga wa muhogo nikauchanganya na mahindi...
Habari wa jamii forum mimi ni mjasiliamali na pia na weza sema ni mpambanaji kwani nilitokakea kuajiliwa hadi kufungua kiwanda kidogo.
Kiwanda changu kinajihusha na uzalishaji wa viatu vya...
Habari zenu wanajamvi wenzangu???
Mimi ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii hasa facebook na jamiiforums.
Hivi karibuni nimejikuta kwenye mshangao mkubwa sana kila nikiperuzi kwenye mtandao...