Tunatafuta kampuni, taasisi au mwekezaji binafsi tuingie nae mkataba wa kupandisha ghorofa floor 3 au 4 kwa ajili ya biashara ndani ya Dodoma mjini. Jengo ni la kundeleza tu lipo mtaa wa uhindini...
Embu tusaidiane wadau wanaotoa mizigo Nairobi usafiri kuja Arusha mnatumia UPI? Nimetumia dar ex press kidogo lakini hela zinalipwa nyingi Na saingine mzigo ubaki boda.....mwenye mawasiliano Na...
Kampuni ya Maxcom Africa PLC, wamezidi kuboresha huduma zao.
LEO wametangaza Huduma zao Mpya ambazo zinaweza kupatikana kwa Mawakala wa Maxmalipo Popote.
Huduma hizi zimeambatana na huduma...
Mradi wa Kuwawezesha vijana wa kike na wanawake kiuchumi kupitia Tasnia ya Urembo na Vipodozi ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wamemaliza mafunzo...
Hi JF members
Poleni na majukumu
Nimeona ni vema nikaanzisha hii ID mpya ili kusudi niwe natupia mambo nyeti ,muhimu na yenye tija kwetu sote najua sitawaridhisha wote kutokana na kila MTU kuwa na...
Hello
Ningependa kujua kama maji ya Kilimanjaro yanayotengenezwa na bonite, yanapatikana katika Nairobi retail shops.
Nina plan ya kuwa supply agent wa hayo maji. Mliokaa Nairobi or Kampala...
Kuhamia Dodoma ni ndoto yetu ya siku nyingi sana, lakini sio kipaumbele kutokana na hali yetu ya sasa ya kiuchumi.
Kama tukiyaorodhesha matatizo yetu yanayokwamishwa na ukosefu wa fedha kwa...
KAMPUNI ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imesema safari zake kwa nchi za Afrika Mashariki kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi na Entebbe, Uganda, zimepata mafanikio kwa asilimia mia moja...
Ndugu jamaa na marafiki, poleni na majukumu ya kila siku!!
Nimekuja kupata ushauri kwa yeyote mwenye idea kuhusu kuanzisha rasmi kituo cha soka la watoto (academy). Nimejiwa na wazo ili baada ya...
Kiuhalisia mawazo ya mradi/biashara yapo mengi sana na huwezi kutekeleza kila wazo ambalo umelipata ima kwa njia fikirishi (brainstorming) au njia nyingine, hii hutokana na ufinyu wa rasilimali...
SABABU YA KURUDI TANZANIA
Tajiri Mo Dewji amejaribu kuelezea sababu iliyofanya arudi Tanzania, baada ya kumaliza masomo yake Marekani na kufanya kazi kwa muda.
Je unahisi Tanzania kuna fursa...
Biashara/kampuni zote huwa zina ufanisi (Competency) na rasilimali (Resources) za kipekee ambazo huzitofautisha na washindani wake. Hizi fanisi na rasilimali katika kampuni hutambuliwa katika hali...
Kuna njia nyingi za kupata fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi; aina ya njia itumikayo kwa kiasi kikubwa hutegeme;
· Kiasi cha pesa unachohitaji kwa ajili ya kutekelezea mradi wako...
Uibuaji wa mradi (Project Plan) ni hatua ya mwanzo kabisa katika mradi. Katika hatua hii wazo la mradi ambalo linaenda kutatua tatizo huainishwa. Kumekuwepo na kasoro nyingi sana katika uibuaji...
Kuna njia (models) mbalimbali ambazo huelezea namna timu ya mradi (project team) inavyokua (evolving). Moja ya njia maarufu (popular) ni hii yenye kuonyesha hatua nne za ukuaji wa timu, kama...
Kuongoza/kusimamia mradi (managing a project) ni tofauti na kuongoza idara katika kampuni au ,taasisi.
Mradi siku zote huja na bidhaa au huduma mpya na ya kipekee (unique) katika eneo husika...
Nimeomba mkopo wa Tsh 1,500,000/= kutoka taasisi moja hapa nchini ambao riba yake ni 17%. Nimeweka dhamna kiwanja. Hivyo basi, nimeingiziwa huo mkopo ambao inatakiwa niulipe kwa muda wa miezi 6...
KUPANDA NA KUPOTEA KWA FEDHA MTAANI NA WAKATI SAHIHI WA KUWEKEZA.
Mzunguko wa fedha unahusisha fedha zote zilizopo kwenye mzunguko za noti na sarafu,zilizopo kwenye mikono ya watu na zilizopo...