Habar ya jumapilli samahanini kwenye mpangilio wa uandishi siko vizuri ilimradi ujumbe tu viusemi unaosema hamna mfanya biashara anaye fanyia hasara Ndo yametimia Viongozi wa Africa walikusanyana...
GAVANA MKUU WA BENK YA TANZANIA AMEFAHAMU KUA BITCOIN INAENDELEA KUKUA HAPA NCHINI
Gavana wa bot bwana benno ndulu ameweza kuzungumza na gazeti la THE GUARDIAN, nakusema kua watanzania wanatakiwa...
Wakuu karibuni tupeane mawazo tofautix2 kwa biashara inayohusu supply ya bidhaa,Naomba tujadili mbinu za kufanya supply ya uhakika bila kukera wateja,Changamoto zake ni zipi na Faida ni zipi...
Mfano umeomba visa ubarozi wa ufaransa unataka kwenda paris kwenye maonesho lakini ukawa hujui english je wakati wa enterview unaruhusiwa kuongea kiswahili au ndio utakuwa visa umekosa sababu...
Waliteremsha bei ya castle lite kutoka 2500 hadi 1500 kwa lengo la kuua soko la serengeti lite lakini wamechemka mapeeeema saa nne asubuhi sasa hivi bia za castle lite ni 2000 wakati serengeti...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio...
Habari wana jf
Nimeona ni vyema kuanzisha thread hii ili watu waweze ku-share fursa mbali mbali za kujiingizia kipato walizowahi kuzifanya ama wanazozifanya kwa sasa au hata zile wanazozifikiria...
Habari zenu naombeni mnishauri nmetengeneza Contena kubwa la saiz ya chumba kimoja cha saizi sasa nmefikiria biashara ya kufanya kwenye ilo contena ila kuna mtu kanipa wazo kuwa nilipeleke maeneo...
Habari za mida hii wakuu
Kama kawaida, pamoja na mambo mengine tumekuwa tukitumia majukwaa mbalimbali katika forum kwa malengo tofauti tofauti. Elimu ni moja kati ya malengo hayo, leo tuangalie...
si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati...
Habari wakuu...najua hapa kuna watu ambao tunaweza kusaidiana kimawazo kufikia malengo...nilitaka kujua wadau kufungua duka LA nguo za wanawake kwa sasa serikali inatakiwa kulipa ushuru kiasi gani...
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni...
Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kukatika , swala la umeme...
Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa...
Salaam wakuu.
Nimekuwa na wazo la kuanzisha utengenezaji wa mishumaa iliyowekewa dawa inayofukuza mbu. Nimefuatilia baadhi video youtube zinazoonyesha namna ya kutengeneza mishumaa nikajifunza na...
Nina wazo la kuanzisha "factory" ya kutengeneza Pencils. Eneo ninalo, Nyololo, Iringa.
Najaribu kutafiti ni aina gani za Machine na VIFAA vya kufanyia uzalishaji... Pia upatikanaji wa Raw...
Habari wenzangu, jana nimechelewa kidogo kuangalia kikao cha diaspora na waziri wa katiba na sheria mh. Prof Paramagamba Kabudi, ila nikasikia diaspora mwanzoni kabisa walikua wameainisha fursa...