Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nimevutiwa kutumia hii fursa ya kutengeza mkaa wa karatasi, lakini bado sijajua Mbinu, Faida, na Hasara zake, Kwa wenye ujuzi Tusaidiane Tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wandugu!! Naomba kama kuna yeyote aliye maeneo au ana contacts reliable za kibiashara hasa Mbao na mazao mengine kama Korosho kutokea ukanda huo wa Mtwara Wilaya ya Nanyumbu. Tuwasiliane...
3 Reactions
0 Replies
931 Views
Habari Wadau! Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu JF? Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, nimekuwa na wazo la kujiajiri kwa kuzingatia taaluma yangu na ujuzi kiasi katika masuala ya sheria ya kodi na usimamizi, na pia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeona press release ya Kenya Revenue Authority (TRA ya kenya) kuhusu kucharge VAT kwenye bidhaa za mafuta. Wachumi, wataalam wa biashara hili suala lina effect ipi kwenye uchumi? Je tunaweza...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Wakuu Salama, Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi. Nakwepa kutumia makampuni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Ninatembelea kila jukwaa, sioni updates za mnada wa makontena. Umeahurishwa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Nguvu Ya Rangi Katika Biashara Zetu Na: Albert Sanga, Iringa. Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja...
15 Reactions
29 Replies
13K Views
Habari zenu Watanzania, Ninataka kuagiza mashine ya kuchimba visima ila sijui ni vitu gani muhimu vya kuangalia kwenye mashine. Kuna hii hapa nimeona kama iko poa sana ila nahitaji ushauri kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*GOOD NEWS: TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WAJASIRIAMALI NA WABUNIFU* [emoji383] *Million 40.Tshs watapewa Kwa kila wazo bora ambalo litaleta maendeleo...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habar, nategemea kusafir kwenda dubai mwezi ujao. Naenda kununua vifaa vifuatavyo Tv za inch 32 nne, zenye thamanai ya kama dirham ya UAE 600 kila moja , xbox 1 x yenye thamani kama ya...
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Heshima kwenu wanajamii wenzangu tunaokutanika katika mtandao huu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu na mazingira ya kibiashara kuwa magumu ni awzi...
11 Reactions
41 Replies
15K Views
Habari ya asubuhi wakuu, Naomba ushauri ,ni bank gani nzuri kufungua account na Kwa kigezo kipi kuangalia kabla ya kufungua . Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
5K Views
hello, nikiwa kama mwakilishi wa RESEARCH AND CHEMICAL ANALYSIS AGENCY (RCAAT) napenda kuwahabarisha wajasiriamali kuwa tunatoa msaada wa (majadiliano ya ubora wa bidhaa) consultation, (upimaji wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama vifaa vilivyomo kwenye makontena ya Mh. Makonda bandarini vitagawiwa Tanzania nzima basi sina tatizo na kusamehewa kodi. Lakini kama ni kwa Dar es Salaam tu siungi mkono kwasababu itakuwaje...
1 Reactions
1 Replies
841 Views
Habari ndugu zangu, nafikiria kufanya Biashara ya Bia za jumla (Godown) naomba yeyote anaefahamu kuhusu hii biashara anijuze tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…