Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanajamvi, naomba mwenye uelewa wa kununua kupitia Alliexpress naomba msaafa plx. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Naomba kuuliza hivi kwa kutumia usafiri wa ndege inachukua muda gani kutok Dar es salaam mpak Kigali-Rwanda? Na ni ndege zip zina root hyo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi si mtaalamu wa uchumi lakini naweza kusoma nyakati, kiukweli umma hauna pesa mifukoni hali ambayo kimsingi inatokana na utekelezaji wa serikali iliyopo madarakani (Maisha yamebana bhana)...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wengi nliopata kuzungumza nao walio fanikiwa kupitia mikopo walineleza kanuni moja ambayo waliitumia mpaka kufikia mafanikio waliyo nayo (nao waliipata jwa wataalamu wengine waliokwisha...
1 Reactions
1 Replies
977 Views
Hapa naongelea biashara zote ambazo zinakatazwa na Serikali kama vile bangi, madawa ya kulevya, biashara za watu n.k Ukianza kufanya hizi biashara utakuwa tajiri sana. Naombeni wenye ujuzi wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo la wabungo hili Mbongo alieajiriwa ofisini, mwenye kipato cha shilingi laki tano au pungufu kwa mwezi anamdharau mtu aliejiajiri kuuza nyanya anaepata kipato cha mpaka millioni 2 kwa...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
August 23, 2028 LONDON -- Aminex has provided the following update on its operations in Tanzania. Ruvuma PSA The tendering process for a rig to drill Chikumbi-1 (CH-1) is now complete and the...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Wakuu salaam. Kuanzia mwezi February 2017 nilianza ufugaji wa kuku wa mayai, kwa fedha ndogo ya akiba niliyokua nayo na nilifanikiwa kuanza na kuku 300, kutokana na ugeni ktk eneo hili na hadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu,anaandika Edo kumwembe Hivi ile fashion ya vijana wa dar kwenda kulima vitunguu Ruaha imeishia wapi.... Acheni kuchezea kazi za watu.... Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani Nina kreti 20 nahitaji kujiunganisha na coca-cola ili waniletee na niuze jumla... Je inawezekana vipi..! Msaada wapendwa..? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Habarini ndugu zangu,mimi najishughulisha na ufundi cm je nitatakiwa nami kwenda kukata lesen ya biashara kutokana na kazi hiyo ya ufundi au la?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF. Kwa yeyote ambaye ameshawahi kutembelea Kigali - Rwanda au wenyeji wa huko wanaweza kunijulisha juu ya haya yafuatayo: Usafiri wa kuelekea huko kwa njia ya barabara (basi) kutokea Dar...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here. mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here. mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Wakuu Naomba kujua kuna kodi yeyote katika kusafirisha Gari toka Zanzibar?
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Salaam, nimepata shida ghafla, naomba kwa yeyote anayeweza kunikopesha shilingi milioni tano kwa riba nafuu ndani ya miezi mitatu, dhamana hati ya nyumba. Nyumba ipo Sumbawanga mjini
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu nadhani kila biashara inahitaji muda ili kuweza...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Nahitaji kufanya Biashara ya duka la wajasiliamali jijini mbeya naomba ushauri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF Naomba msaada kwa wenye uzoefu na biashara hii, Mimi Naifanyia utafiti nianze kuifanya kwa mfumo wa rejareja yaani niwe na banda. Naomba nijuzwe ni mbogamboga zipi zinanunuliwa sana na...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Majukwa mengi ya JF kwa sasa hufanya vizuri sana kwenye SEO za google hasa kwa lugha ya Kiswahili. Nawashauri muunde 'Content Marketing Team' itakayokuwa na kazi moja ya kutafuta wadhamini wa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…