Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

  • Poll Poll
Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia...
1 Reactions
61 Replies
17K Views
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
You can say it involves buying and selling stuffs, well you probably are true but what really business is? Since I am not the only one who doesn't know, I am open to suggestions Define business...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri juu ya biashara tajwa.Ninampango wa kuanzisha hii biashara siku za usoni inshaallah!!!!
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Waafrika popote walipo wanaokwerwa na wizi na uporaji wa mali zao unaofanywa na watawala wao wangefurahia wangekuwa na rais kama wa kwetu, JPM ambae kiuchumi hana mpinzani chini ya jangwa la...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu..... Naitaji Msaada wa machimbo mazuri ya Vitenge kwa dar es salaam coz naitaji kufanya biashara ya Vitenge but sijajua niwapi nitapata Vitenge vizr na kwa bei nafuu naitaji Msaada...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Misingi mitano ya taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi. 1.Uadilifu (Integrity)- Mhasibu unatakiwa kuwa muwazi na muaminifu katika maswala ya taaluma na vinavyohusiana na kazi 2.Usawa (Objectivity)-...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) linatarajiwa kuanza kupata faida mwaka 2023, kulingana na Mpango wake wa kibiashara wa mwaka 2017/2022. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hivi...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
ATCL yatarajia kutua katika Majiji 16 duniani. Majiji hayo ni: Comoro, Bujumbura, Entebbe, Nairobi, Kigali, Lubumbashi, Accra, Lagos, Harare, Lusaka, Jo-burg, Guangzhou, Dubai, Muscat na London...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nahitaji kujua route IPI nzuri kwa basi abiria 45 hususan mikoani Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sawa, najua mnaambiana kuwa hakuna tajiri aliyeajiriwa. Acheni upotoshaji, kila tajiri kaajiriwa na biashara yake na anafuata masharti na matakwa ya biashara yake la sivyo hio biashara itampiga...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Wajameni mnijuze kama ndege yeu pendwa iko tayari matengenezo ya wi fi nataka kuwahi mwanza kesho mapema
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari humu, nahitaji partner wakuanzisha nae biashara ya salon yakike, Nipo Dar.. Mimi najua kuseti, kufanya Makeup, kushonea weaving zote na kutengeneza wigs vizuri kabisa. Mtu nnaemuhitaji awe...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kujua haya ni madini gani na soko lake likoje,kwenye shamba la bibi yangu Tanga mombo wakati analima amekutana na mawe meusi halafu jembe limetanasa kama sumaku.Je hayo ni...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Dreamliner to make debut landing at JKIA The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September - will...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jipatie saa za ukutani za mapambo yaani decorative wall clock kupendezesha muonekano wa nyumba/ofisi yako whatsapp/call 0672671066
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Baada ya kuhamasika na kulima zaidi mihogo badala ya mahindi waliyoyazoea kama zao la biashara na chakula. Baada ya mafanikio ya wakulima wa kijiji cha Kwamsisi kupitia mihogo na wengine kuiga...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Heshima yenu wana JF..[emoji112] Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo. Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…