Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la kampuni mbalimbali zinazokopesha kwa njia ya mtandao.Labda nimechelewa sana kuzisikia habari hizi maana nimeona kampuni zingine zina miaka zaidi ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarini wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nataka kufanya biashara ya bodaboda na kirikuu, sasa nahitaji ushauri wa vtu vya msingi navyopaswa kuvifanya kabla ya kumkabidhi dereva...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kutoka chuo kikuu, niliamua kufanya biashara ya daladala ili maisha yasonge, cha ajabu hii biashara ni pasua kichwa. Utasikia mara tochi, bao mara gari imeharibika nk Binafsi napenda...
7 Reactions
59 Replies
11K Views
Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
[8/9, 18:05] mwangosaid: *PURIFYING EXFOLIATING CLEANSER* *SPECIAL FOR MEN* -Hii ni sabuni special kwa wanaume ya kuoshea uso.. *Uchunguzi unasema ngozi ya mwanaume huchelewa sana kuonesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarin humu ndani kwanza kabisa napenda kujua kama kunatofauti ya kodi kati ya kitambaa cha nguo na nguo iliyokwisha shonwa pindi vinapoingia nchini kwetu? Wanachaji asilimia ngapi au kama...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kichwa cha uzi chajieleza, naomba kujuzwa Mahitaji au nyaraka muhimu wanazohitaji vodacom ili niweze kupata line ya wakala wa mpesa yenye jina langu
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TANGAZO KWA UMMA JUU YA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA GOLANI KATA YA KIMBIJI NA YALE YALE PUNA KATA YA PEMBA MNAZI Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na Kampuni ya Ardhi Plan...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu. Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu, tafadhali naomba anayeweza kunisaidia kujua bei na wapi naweza kupata tunguu swaumu anieleze. Nahitaji mzigo mkubwa. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo zenu? Naombeni ushauri sina kipato kikubwa ila sijafika ml.1 ila napenda biashara gani ni nzuri kuifanya kwa mtaji mdogo?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jf Nilikuomba naomba kujua machimbo yanapopatikana mapochi/ handbag za mtumba ambazo ni quality grade one ili nikajumie nianze biashara Msaada please
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I’m looking for Managing Partner for a Logistics Company. The Company is one year old and have done number of Project with Various Organization now we have acquired New Project and wish to have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau Azam ni kwangu tuu au?hebu msaada Siwaelewi hawa Azam.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
https://photos.app.goo.gl/WZQL8XVxjz6d1BSp8
0 Reactions
0 Replies
2K Views
sis ni mawakala wa bima za aina zote, tukiudumia bima kutoka makampuni yote ya nchi nzima 1. magari na pikipiki 2. bima za afya 3. bima za moto 4. bima za wizi 5.bima za mizigo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…