Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu habari?kama kichwa cha habari kisemavyo . Hatua zipi nizifuate ili niweze pata laini ya biashara,kama vile tigo pesa na m.pesa. Hatua hizo ziwe za kiserikali na kimakapuni ya simu. Pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine...
3 Reactions
254 Replies
35K Views
Naomba kuuliza wakuu anayejua bei ya kukodi mlinzi mmoja kwenye kampuni za ulinzi zinaanzia sh ngapi
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hab
Habari Nahitaji bidhaa za mtumba kutoka America au Ulaya anayeweza kuwa na msaada anicheki tafadhari Nahitaji anikusanyie na Kanitumia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunahitahi maafisa mikopo Sales Representatives kwa Zanzibar Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0768218042
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanabodi! Nimekuwa nikifanya tafiti nyingi kwa nini Tanzania hatuna wafanya biashara ma Millionaire wengi?,kwa nini biashara nyingi Tanzania zinakufa kila Mwaka?,kuna baadhi ya watu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitaji kujua Bei ya dhahabu kwa Sasa na wapi walipo wanunuzi
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kilimo ni Sekta ambayo imekuwa ikitambulisha bara la Africa kwenye Dunia inayo tuzunguka. Kitu cha ajabu ni kuwa watu wachache sana Hupata thamani halisi ya Sekta hii pana na yenye faida. Kwanza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tupo is a major business listing directory in Tanzania. Whether you’re looking for a great coffee shop nearby, a new salon, or the best services in town, Tupo is your city guide to finding the...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natamani kujiunga na kikundi cha ujasiliamali kilichoko mikoa yote Tanzania Kama kuna mtu anakijua anijuze
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi kwa ujumla vinauzwa kwa bei gan nataka kuanzisha ujasriamal
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wana JF, Imepita muda tangu nitangaze wazo la kilimo cha biashara cha michungwa na tathmini ya mapato pamoja na gharama zake ingawa nimepata changamoto za maswali mengi kutoka kwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Check my Taxify ride here Taxify Share ETA
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Natafuta shampeni zisizo na vilevi ambazo bei yake haizidi sh. 5,500. Nahitaji nyingi kidogo Tafadhali kama unafaham naomba uweke maelezo wape naweza pata au weka namba ya simu...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Hiki kifaa jamani ninakiuza .. Ni chakijapani beiyake Ni $1000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
now let's got into the world of investments and look for the secrets of the rich in this world of thinking and growing rich up to the time you ritire working.am concerned that too many people are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…