Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi.....KWA bei ya jumla vinauzwa kwa bei gan.. Msaada wenu jaman
Mashine ni ya umeme,ina roller mbili na uwezo wa hali ya juu sana,ina kibanda chake kabisaa,bei ni 2000000 lakini inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
Samahan Waugwana Naiman Wazima Wa Afya
Mimi Ni Kijana Umr Miaka 19 Sijabahatika Kusoma Nimeishia La 7 Nimepata Pesa Tsh Million 2 Za Kitanzania Kutokana Na Uhaba Wa Spea Za Pikipik Katika Mtaa...
habari zenu wapendwa napenda mnisaidie gari gani ni ngumu kati ya TOYOTA WISH AU TOYOTA RACTS
nahitaji kununua gari ila machaguo yangu ni kati ya magari hayo mawili
nishaurini gari gani itaweza...
Hamjambo Watanzania!
Ikiwa imepita miezi michache tangu benki ya Twiga iunganishwa na TPB kutokana na kushindwa kujiendesha yenyewe sasa ni zamu ya TWB.
Hali ya taasisi za kifedha kuunganishwa...
Salaam Wadau,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazokuja humu JF hasa za biashara na uwekezaji na nyingine nimechukua hatua moja mbele na kwenda kuzitekeleza...matunda si...
Kutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa...
Asalaam wanabodi! Mm nina nyumba/vyumba vya kupanga takribani 20 ziko mjini kabisa na eneo zuri.
Na takribani kwa mwezi na uwezekano wa kuingiza kipato kisichopungua sh laki 5 kinachotokana na...
Nimeshtuka leo kuona sasa na zile tulizoziita Giant Bank kama Bank M, nayo imechukuliwa na itasimamiwa na Benki Kuu,
Kama Benki kubwa nazo zinakumbwa na mdororo wa ukwasi napata ukakasi huko...
Habari zenu wakuu
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara tajwa hapo juu naomba msaada wa maarifa na mchanganuo wa namna ya kuganikisha.
1. Naomba kufahamu mtaji kiasi gani unafaa kuanzia ila...
Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho.
Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess...
Unajua najiuliza sana. Zamani, enzi za Nyerere na Mwinyi ambapo uchumi ulikuwa mdogo sana, bado tulikuwa na mashirika makubwa ya ndege ya kimataifa yakija na ndege zao hapa Dar es Salaam...
nipo kijijini week ya pili hii. nilikuwa nataka kununua bidhaa flani ya nafaka. ila kitu ambacho kinanipa shida ni kuwa upimaji wa watu wa huku unasumbua. mfano nataka kununua ulezi wao hawapimi...
Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.
Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara
Rgds
Uduzungwa
Nani ana takwimu za kiasi gani cha mapato kilipotea kwa maduka na biashara kufunguliwa saa 4 asubuhi kila Jumamosi Dar es Salaam kwa miaka 2?
Nini adhali za kiuchumi kwa wafanyabiashara wakubwa...
Nina idea ndogo tu ya biashara inayoweza kutuingizia 500,000/= kwa kuanza tu Kwa mwezi then hadi 800,000/= tukiiboresha mbeleni huko.
Mimi naishi DSM ila nasoma Dodoma, idea hii dhumuni langu...