I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏
Tuje katika wazo
Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la...
Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k
Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani?
Ndugu utalia sana aisee,
Vijana wanatoka...
Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa...
Nina biashara yangu ya kuuza viuongo, nataka mtu anaweza kudesign muonekano mzuri wa brand yangu kwa bidhaa zifuato
Tea masala : 100g
Black pepper: 500g
Garlic: 250g
Ginger: 250g
Cinnamon: 250g...
MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE
- Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho
-I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka
- RC Shigela aeleza mpango wa...
Je umewahi kusikia biashara hii ya Kulenga viwanja?
Twende sawa
Habari za muda huu, natumai mzima kiafya kama sio mzima sana basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uwe sawa kiafya.
Je umeshawahi...
Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale.
Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU.
Kuna...
Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀
Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa.
Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila...
MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025
⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia
●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500
● Waziri Mavunde...
Habari wana JF.
Nimekuja mbele yenu nikiamini kwenye jukwaa hili nitapata msaada wa biashara hizi mbili kati ya ufugaji wa kuku au biashara ya mbao ipi the best kuanzia kwenye changamoto za soko...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo
Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070
Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
Uanzishapo biashara ya bucha, hakikisha pia una kijiwe cha nyama choma.
Hii itakusaidia nyama kutokubaki, na kufanya fedha yako kuwa kwenye mzunguko.
Hakikisha pia una wateja wako angalau kumi wa...
1. Holding company ina faida gani ukilinganisha na kampuni za kawaida?
2. Je subsidiary company inaweza milikiwa 100% na holding company moja?
3. Kama holding company ina kampuni 10 je kila...
Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila...
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana...