Hello Wana JF hebu Leo Ngoja Nami Niweke Mawazo yangu Hapa Kuhusu Biashara kidogo Maana Nishapitia Huko na Ninanendelea
Huwezi Kufanya Biashara Na Ukatoka Kama Utakuwa unapitia Katika Bullet...
Habari,
Limezuka deal kwa mabenki kuweka noti za 5,ooo kwa wingi ili watu watoe hela mara nyingi na benki kuvuna hela ya kutolea.
Hii siyo sawa kwani noti za 1o,ooo ikiwa unatoa 1mln utatoa mara...
Nahitaji kumfungulia wife biashara, baada ya kuongea nae yy binafsi ana wazo la kufungua duka la kuuza na kuoka cake za harusi, send off, birthday n.k ila mm binafsi nilikuwa nafikiria kumfungulia...
Jamani ninaomba msaada juu ya haya maswali yanayonitatiza.
1. Je mabango ya piashara yanapaswa kulipiwa kodi?
Kama ndio,
2. Ninaomba kujulishwa juu ya Mchanganuo wa gharama zake.
3. bango lenye...
TOFAUTI YA GHARAMA HIZI ZA NDEGE NAJIULIZA HUWA TUNAFANYA PRICE RESEARCH KWELI ??????????:eek::eek::eek:
National origin Russia
Unit cost MC-21-200: US$ 72 million---With a capacity of...
wadau,nina wazo fulani la kuanzisha gazeti,si moja ni mawili,lakini sijui nianzie wapi!
najua kuna watu wa fani hiyo humu ndani naomba msaada pls.
thanks
Wanajamvi salaam,
Nina mpango wa kufungua biashara ya saloon (kinyozi) mkoani morogoro. Kwa wenyeji wa morogoro nahitaji kupata uzoefu wenu kwenye hili katika mambo yafuatayo;
Mosi, ni maeneo...
Salam wakuu.
Moja ya watu ninaoa farijika sana kuishi nao katika zama hizi na kushare nao hili anga na hii Oxygen ya bure kutoka kwa Muumba ni huyu Mr Elon Musk. Shule ni kitu muhimu sana endapo...
Habari wadau nataka kupeleka mafuta ya kula ya alizet zanzibar , binafsi sijawahi kupeleka kitu zenji ila nasikia bidhaa hutozwa kodi nataka nijue kama mafuta ya kula yana utaratibu gani na kodi...
Juzi nilikuwa nimeenda kule Tarime nimekutana na fursa nzuri sana kwa vijana walio serious, kule ndizi ni bei rahisi sana na parachichi hazina mnunuzi zinaozea shambani.
Kama una mtaji wa...
Tanzania’s ongoing macroeconomic reform program has received a boost from the African Development Bank through a US$40- million budget support loan to be provided by the African Development Fund...
Wanajanvi naomba kujua namna ya kusajili yutube /blog tcra. Naona tcra wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube. Nawasilisha kwenu kwa mablogers
Benki ya CRDB imetangaza punguzo la riba kwa mikopo ya wafanyakazi kutoka asilimia 22 hadi asilimia 16 ili kurahisisha upatikanaji na kufanikisha mipango waliyojiwekea.
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Habari wadau;
Katika kufanya utafiti nimegundua kuwa kuna changamoto ya utumiaji wa Laptop katika taasisi za elimu ya juu na hilo limenifanya nifikiri mradi wa kukodisha Laptops kwa wanafunzi wa...