Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari.
Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza...
Tumefurahi kuungana rasmi na KPMG ambao ni wataalamu na washauri katika masuala ya biashara, na Mwananchi Communication Limited kama madhamini mkuu katika mchakato wa kufanya uchunguzi wa kutambua...
Salamu wakuu.....!!!
wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa...
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
Hii bank walikuwa serious na customer care nzuri lakini naona sijui wameingiwa na mdudu gani? Yaani week mbili nashughulikia nyongeza ya mkopo (topup), mara lete hiki, mara kile, vitu ambavyo...
wakuu nataka kufanya biashara ya electronics nijikite kwenye samsung na iphones , laptops pamoja na video game consoles kama ps4 n kadhalika, nn mawazo yenu kuhusu mpango huu, ?
Wakuu salaamu.
Ningependa kujua ni vitu gani hufanya mradi ufadhiliwe na mashirika ya kimataifa kama UNIDO, DANIDA, UNEP.
Na je, mashirika yanasapoti kampuni binafsi zinazofanya mambo yaliyo...
Maneno bahati mbaya na nzuri yamekuwa yakisikika sana katika vinywa vya watu wengi duniani, mtu akifanikiwa kutoka salama katika ajali watu husema kuwa “yaani imekuwa bahati nzuri ametoka salama”...
Habarini wanabodi.
Moja kwa moja kwenye mada.
Unataka kuanzisha biashara?
Hakuna kitu kinauma kwa mjasiriamali yoyote yule kuona biashara, project au wazo flani ambalo aliamini laweza kumtoa...
Hello wadau,
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii.
Kila siku watu...
Assalam Aleykum wakuu
Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki...
Awali ya yote napenda kutoa shukrani za dhati kwa members wa jf hususani katika jukwaa hili.
Mimi ni miongoni mwa waajiriwa katika sekta fulani hapa Tz, pamoja na kufanya kazi hii, bila shaka...
Hii inawahusu watu wote, inakupa uwezo wa kutengeneza mpaka tsh. 100,000 na zaidi
ni biashara ya advertising kwa maelezo zaidi tupia hapa group la whatsapp me nitakuja hiko tupeane ujuzi
hakuna...
Bei: Milioni 3.8
Zinafaa kwenye korosho au fumigation majumbani.
Description
The Tomahawk Backpack Mist Blower is perfect for applying pesticides in small orchards and vineyards or for pest and...
heshima kwenu wadau wa kutengeneza fursa za kuongeza utajiri,
wakati fulani niliwahi kusoma historia ya tajiri mkubwa aitwaye WARREN BUFFET, ambapo alielezea kwa ufanisi mkubwa kuhusu jinsi...
Habari za jioni wakuu.
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kukopeshwa hela ninunue bajaji ili ipige kazi hapa mjini(Dar es salaam).Nitapambana kila mwezi niwe narudisha laki 600,000/-...