Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

https://africanentrepreneurshipaward.com/
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari ya muda huu wanajamvi. Siku zote tumekuwa tukisikia story za mafanikio katika biashara Fulani bila kusikia changamoto au ugumu wa biashara hiyo hali inayopelekea wengi kushindwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ndugu wa JF Nimefuatilia thamani ya shilingi yetu kulinganisha na Dolla katika kipindi cha wiki mbili na nimegundua kwamba inaporomoka thamani kwa kasi sana. Kwa mfano leo ubadishwaji wa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za majukumu wanaharakati, naomba kufahamu kama kampuni ya kutengeneza na kuuza Mashine za Tofari za Interlocking, Yenye makazi yake south África kama wana branch hapa tanzania, kama ipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fumbuka Ng'wanakilala 3 MIN READ DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania’s communications regulator has given bloggers two weeks to register their platforms under strict new online content rules...
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara. Je, unapata...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu watanzania wenzangu!! Naitaji elf 90 niweze kulipia kodi ya nyumba, kwa atakayeguswa,naomba ani PM nimpe mawasiliano yangu,anikopeshe hata kama nikwa riba,nipo serious wadau
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau naomba ushauri. Wapi jijini Mbeya naweza kujenga nyumba ya kuishi binadamu kwa ggharama isiyozidi mil.5. kwa kuanzia nina mil. 1. Nikipata na shamba itakuwa vyema zaidi. Nataka ya matofali...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Fuatilia uzinduzi rasmi wa ofisi mpya -Capital Office na Tawi letu la NMB Kambarage unaofanywa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanina, Mh. John Pombe Magufuli mjini Dodoma. #NMBKaribuYako
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu , nnaitaji kununua camera from eBay, sasa naulizia ikifika kwa njia ya posta.. Nackia kuna kulipia kodi, Je, kwa makadirio kodi utakua kiasi gani, bei ya camera ni $300....laki sita naa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Masikini ndo wenye pesa na sio matajiri na kusingekuwa na masikini basi hata matajiri wasingekuwepo, na kumbuka masikini wako Dunia nzima hata kule tunako tamani kwenda kusihi kwa Green card nao...
33 Reactions
56 Replies
8K Views
Napenda kuleta Uzi huu mahususi kabisa kwa wale jamaa zangu wa FOREX !!! Nimeona niseme kitu coz hapo mwanzo kipindi ndugu na jamaa yetu bwana Antario alipoanzisha uzi wa Forex !!! Naweza kusema...
17 Reactions
124 Replies
13K Views
Salaam wakuu. Nimeitoa huko nikaona itapendeza nikishare nanyi. Hiyo hapo tiririka nayo. ASSET~ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. LIABILITY~ni kitu kinachotoa pesa...
14 Reactions
45 Replies
10K Views
Asalam Aleykum wanabodi. Nimekutana na mkasa wa kusikutisha kidogo, wakati Mhe. Rais anawaambia watanzania watembee kifua mbele, hali ni tofauti sana. Kuna watendaji wa mashirika ya umma wanapiga...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Wanawake wengi waliojaliwa neema za Mungu mara nyingi wanapata shida sana katika kupata nguo nzuri za ndani(chupi na blazia) ambazo na yeye zitamfanya ajisikie vizuri kama wenzetu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Hongereni sana watanzania wote mliofanikiwa ku-make on the list ya new selected Tony Elumelu Foundation Entrepreneur for year 2018. Haikuwa rahisi hata kidogo, 150,000+ applications from 54...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naweza badilisha hii pesa kwenda pesa ya kitanzania?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfano mwezi ulioisha nilifatilia kibali cha kusafirisha kenge nje ikashindikana ila nikaambiwa watu wa zuu pekee ndio wanapewa lessen za kusafirisha wanyama ila mim nasemea kenge sijui kama kenge...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Kwanza tutoke mafichoni. Tujitokeze mitaani kuangalia je ni fursa gani zipo. Makala iliyopita nilitoa mfano wa makala ya muuza matunda. Leo naomba nitoe makala nyingine inayofanania. Kuna rafiki...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…