Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu Mimi ni mjasiriamali lakini kwa sasa nina wazo jipya la kufanya Foreign Exchange(Forex) lakini kwa uchunguzi wangu nilioufanya siwezi kupata faida kama nitanunua bureau na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana bodi, Mimi ni mstaafu wa umma, katika maisha yangu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni ya kuhuisha taka chafu na kwa sasa naona nina muda wa kutosha sasa kusimamia shughuli zangu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu Naomboni ushauri juu ya kuanzisha biashara ya tiba mbadala Capital yake changamoto na vigezo vinanyotakiwa na serikali Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAGARI ya kifahari yaliyokwama kwa muda mrefu Bandari ya Dar es Salaam kutokana na waagizaji kushindwa kulipa kodi mbalimbali kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), yameanza kupigwa mnada huku kukiwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wana bodi. Nafikiri kila mmoja amesoma na kusikia taarifa ya BOT baada ya kufungia benki 5 kwa kushindwa kufikia mtaji wa Bilioni 2 kulingana na sheria zao. Kilichoshangaza wengi ni kuwa wateja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
PDF Reports of The 47th World Economic Forum Annual Meeting Based On Travel and Competitiveness Index, Held on 17 - 20 January 2017 in Davos-Klosters, Switzerland (The 48th World Economic Forum...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CRDB wamepandisha riba ya junior jumbo; akaunti ya mtoto ni asilimia 4%. Nafikiri hii ndo benki nzuri ya kumfungulia mwanao junior jumbo, nasikia iyo akaunti haina chaji kabisa withdrawal or...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Hi! Hope you had very successful 2017. I hope its your plan to achieve ISO 9001:2015 Certification for your organization in 2018. It is very possible. Pangolin Quality Consulting Co. Ltd will...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina mtaji wa milioni 1. Naomba ushauri kwa anaefahamu kuhusu soko la nguo Uganda. Ukusantaji na namna ya kuingia na kutoka nchini Uganda. Kiukweli sijawahi enda nchi za nje. Asante sana
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wakuu, naomba mwenye ujuzi na mambo ya fedha anisaidie. Kuweka fedha benk katika akaunti ya muda maalum(fixed account) au kununua hisa kipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa malengo. Ushauri...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE* BITCLUB ADVANTAGE *IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE* HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Nina kiulizo hapa kwa wale wajuao mambo, pia naamini siwezi kuwa peke yangu nisiyejua, wapo hata wasiojua ninachouliza ni nini, huenda nao wanaweza kujifunza ikiwa Bitcoin...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwishoni mwa mwaka 2017 waziri wa fedha na mipango FILLIP MPANGO alitoa agizo la matumizi ya shilingi ya Tanzania katika huduma na ununuzi wa bidhaa kwa wananchi. Agizo hilo lilitegemewa kuanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hizi biashara za network marketing naomba anipe in and out ya biashara hii maana nimekuwa nasikia watu wengi sana kuwa huwa wanajiunga. 1) Hii mifuko huwa inaukweli wowote kwamba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
689 Views
napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa Tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya...
0 Reactions
30 Replies
16K Views
Mhe. Charles J. Mwijage (Mb) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji amekabidhi mradi wa kujenga Industrial Sheds kwa Mkandarasi JKT mkoani Simiyu tarehe 2 Jan, 2018. Mradi huu ni mahususi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Kama mada inavyosema nina gari zangu mbili zipo tu hazina shughuli. Moja ni Ti Carina na nyingine ni Spacio new model, sitaki kuwapa madereva wa mtaani maana sitaki usumbufu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…