Habari wakuu,
Hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza kuzifuata ili uondokane na madeni mwaka 2018. Madeni ni chanzo cha umaskini na kuua biashara za vijana wengi. Pia athari kama magonjwa ya moyo...
Hello waungwana.
Natamani sana kujiajiri hususani kufanya biashara ya kutengeneza juisi na vyakula...
Napenda mwaka 2018 nisajili biashara yangu na Kumiliki brand yangu binafsi ila bado sina...
Salama wakuu?
Mitaani kuna mazungumzo kibao kuhusu fursa zilizo wazi mjini au nje ya mji wa Dodoma. Napenda kunufaika na mojawapo ya fursa hizo mjini au nje ya mji. Napenda kuzijua na pia kuteua...
Kama uzi unavyojieleza vitabu vinavyowabadilisha watu na maisha Yao hi hivi,
think and grow rich,,
retire young retire rich,
the millionaire,
rich Dad poor dad.
Kama na wewe una vitabu...
Mwenye full details za hawa jamaa aniandikie tafadhali. Kuna jamaa yangu kajitosa huko eti unawatumia hela kiasi kama yeye kawatumia laki mbili km mtaji then baada ya wiki wamlipe laki moja, wiki...
The Rt. Rev. Benson K. Bagonza, bishop of the Karagwe Diocese, Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT), shared stories of impoverished people in Africa with more than 25 Christian, Jewish...
Salaam wanajamvi,
Jamani naomba mnipe ushauri kutoka kwenu hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha.
Kwanza naweza sema hapa Tanzania kusoma sana ndo kuukaribisha umasikini tu.
Kijana mimi wa...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33,mwanafunzi wa chuo kikuu huria mwaka wa pili (BED P&M), ninayo familia ya watoto watatu,nimebahatika kujenga na ninaishi kwangu (Dar) japo...
DON'T BE ASHAMED TO START SMALL.
Dont wait till you have so much to start. Remove your pride,start where you can & be passionate & patient with it. Just because you start small does not mean you...
Wakati fulani dunia hii ilikuwa karibu nusu ya simu zote za mikononi
ni NOKIA...walilishika soko la dunia nzima
Hata Iphone zilipoanza ilikuwa inasemwa Iphone wanauza simu za mwaka mzima
ambazo...
Wadau nipo kwenye biashara ya Hardware mwaka wa pili sasa, mwanzo biashara ilikuwa poa mpaka nikawa najisemea biashara ndiyo hii!
Hali imechange sana mwaka huu japo mwaka jana hali ilianza...
Habar wana Jf
Zikiwa zimebakia siku chache tuuage mwaka 2017 naomba ni-share Move kali na nyinyi ambayo nimeitizama bila kuchoka mwaka 2017
THE BOURNE IDENTITY
Hii move imeelezea uhalisi...
Wiki lililopita kunekuwepo na trend ya habari kwenye media kuwepo na msururu mkubwa wa magari yakitikea sehemu mbalimbali kurejea arusha na Kilimanjaro
Watanzania walio na fikra ya kuona...
Wadau napenda kuja mbele yenu kuomba msaada wa namna ya KUINGIZA simu used na mpya toka nje ya nchi km China na Korea .Mtaji ninao wa kutosha ila sijui km makadirio ya TRA yanakuaje kwa simu used...
Habari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni...