Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

habari wadau.. najua humu kuna watu wengi wanaofanya biashara... tukianza na mimi nina biashara ndogo ndogo tatu tofauti... kwa yeyote akisikia ishu asisite kunitafuta... 1. nina workshop ya...
1 Reactions
3 Replies
918 Views
Kwa sasa ni usafiri gani wa uhakika kazi ya Dar-Mwz kwa ndege kati ya Fastjet, ATCL, Precision na kwe bei nzuri
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Kesi hii ya mauaji ya muandishi mahiri wa habari za kiuchunguzi Carlos Cardoso nchini Msumbiji ndio labda iliyoipa serikali ya Rais Joaquim Chissano wakati mgumu sana hasa baada ya kusahau kipindi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Wadau Kwema?? Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia...
11 Reactions
40 Replies
9K Views
Je wewe ni mkazi wa Arusha na ungependa kupata ABC kuhusu FOREX? tarehe 12/01/2018 New safari Hotel kutakuwa na semina ambayo itaendeshwa na TAHIR KHAN aka STRYKER kutoka UK. semina hii ni bure...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu ni matumain YAngu mupo salama.ili kupambana na hali zetu nitaka kujikita katika biashara ya mitandao ya simu(Wakala ambapo nitafanya huduma zote za kipesa na kuswapu Lain naomben uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo hivi sasa nimemaliza field yangu, nina muda wa mwezi mmoja mkononi nafikiri kuanzisha biashara ya kuuza sabuni za maji katika mashule na sehemu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
RANDOM THOUGHTS FROM LIFE ON THE ROAD Louise Bedford and I have just wrapped up about a month of travelling to different states and presenting, which is something we haven’t done for probably 15...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Wanyekuelelwa naomba kujuzwa hili. Unapopita Mtaa wa Toure Drive ukitokea Mijini utakutana na mabango mengi mno yanatangaza huduma zinazotolewa na Benki ambayo haikitajwa katika mabango hayo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Biashara hizi kutakiwi kujiingiza, kwasababu hata kama huna tamaa. Zinakujengea matumaini na tamaa ya muda mfupi ya Kutajirika. Zina sifa mbili au zote ya sifa zifuatuatazo;- 1. Idea ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za kazi wakubwa Kutokana na kuona watu mbalimbali wakiomba kurushiwa/kupatiwa vitabu mbalimbali vinavyotoa mafunzo na motisha kwa watafutaji wa maisha hususani wale Wajasiri katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenyevuzoefu wa kilimo, cha matikiti maji kwa arusha kinafaa sehemu gani na itakua sh ngapi kukodi shamba sehemu yenye maji ya kumwagilia nataka nijaribu heka moja au mbili .pia...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa,niende kwenye mada naomba kujuzwa kati ya kuendesha boda boda yako au bajaji ya kwako pia ni ipi hap inalipa zaidi mana nataka nichukie kimoja kati ya...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Naitaji kufanya biashala ya Maji Mimi nimgeni Kwenye maswala ya biashala Naitaji muongozo kwa winye ufaamu wa iyo biashala nduguzangu nina msingi wa milioni1 sijapata frem bado na nipo dar.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu wangu Kama kawaida leo nakuja tena katika jukwaa muhimu kwangu hapa JF. Hakika kuna mambo mengi sana yanayochangia mpaka mtu kuwa na mali nyingi ama utajiri. Ukiachilia...
40 Reactions
106 Replies
22K Views
Ni baadhi ya bidhaa zinazo uzwa kupitia (OMASAM TRADERS LTD)ni oil bora na salama kwa Gari,piki piki,Mitambo,yako Na greases,mafuta ya break Tuna ujazo wa aina mbali mbali kama ifuatavyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajukwaa Salaam, Imani yangu tunaendelea vizur. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za wanawake. Kitu kimoja kinanisumbua kichwa, niiweke hii biashara yangu sehemu gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wale wenye uelewa na hili mnisaidie kufaham, hivi pale unapoachishwa kazi yale malipo anayotakiwa akulipe mwajili mwenyewe huwa yanakatwa kodi? Na je yale malipo ya Sikh huchukuliwa kutoka...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…