Ndugu wana jukwaa poleni na shughuli na majukumu ya kila siku.
Nianze moja kwa moja kuhusu mada iliyo tajwa,Kwa vijana wa kitanzanzia ambao wanajituma kila
siku ili kuhakikisha maisha yanaenda...
Imani iwe kwenu wana Jamvi.
Kama heading ilivo naomba kujuzwa faida ama hasara za kuendesha biashara kama kampuni maana nimefuatilia nimeona kuna utitiri wa kodi/gharama na uendeshaji kampuni...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
This pair is bearish in the short-term, and neutral in the long-term. Price has gradually come down since November 27...
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kupata sehemu au maeneo gani ya kuweka huduma za afya ? Nataka sehemu zenye sifa zifuatazo ,nyumba iwe inafikika kwa gari , nyumba iwe na vyumba visivyopungua...
Hivi hawa jamaa wako serious na Product zao maana Ofcoz product zao ni Affordable ila Garantii ni Muda Mchache Hali inayopelekea kua na mashaka na product zao....Wenye uzoefu na product zao...
Naomba mwongozo katika kuanzisha biashara ya spare za magari kama option no. 1 n.a. option no 2 ninayoifikiria ni biashara ya construction Hardware 3. Biashara ya kilimo. Naomba ushauri nipewe na...
Niwashukuru tu airtel kwa muda wote wa 3month niliovumilia kuwa nanyi am going back kwa wezi wangu voda majuzi walizima internet usiku na walitutaarifu.
Wanaupdate/upgrade network zao ziwe fasta...
Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya...
Baada ya tetesi za muda kampuni ya Apple imetangaza rasmi kuinunua App maarufu ya kutambua muziki ya Shazam.
Katika taarifa iliyotolewa na pande zote mbili kulionesha mafanikio yaliyofikiwa kwa...
Habarini wakuu
Nimewaza kuanzisha biashara ya vipodozi wakati naendelea kuitafakari na kuzungukazunguka hapa mjini nimewaza kupanga frame then niikate katikat upande mmoja niweke urembo na...
Chuma kinawekwa katika moto mpaka kinaiva kisha anabandikwa mnyama kwenye ngozi. Mifugo ingeweza kutamka maneno nadhani matusi yake yasingevumilika.
Watu wa haki za wanyama-TSPCA mpo wapi?
Hakuna...
Kama ume plan kufanya biashara Fulani then ukafanya hesabu ukakuta inahitaji 1milioni na wewe unakihasi hicho cha Pesa usianze na mtaji kamili cha kufanya chukua laki tano anza hivyo hivyo kwa...
Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy...
Habari Wakuu
Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri...
Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati...
Habarini jamvini,
Leo ningependa tuongelee kidogo umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara.
Biashara nyingi ndogo na za kati hufa ndani ya mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tatu...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market is bearish in the short-term, for price went southwards throughout last week, moving briefly below the...