Habari wana ndugu wa jukwaa hili la kuelimishana jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi,lengo la kuandika uzi huu ni kumpata mtu ambae nitashirikiana nae katika kuiendeleza biashara yangu ambayo...
Naomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali.
Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora
Kwa wakazi wa Tabora...
AUS200
Dominant bias: Neutral
In the last two months, this market has not moved in a directional mode. It has been moving only in a zigzag manner since then, in a quite choppy environment. This...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza nataka kutumiwa mzigo kutoka sweeden! Tulitaka kutumia DHL ila inasemekana hawa jamaa branch ya bongo siyo waaminifu so, tumekua scared kufanya nao hyo...
Kama mlivosikia kuwa bomba hilo la mafuta litagharimu sh. Trilioni zaidi ya 7
Zabuni za ujenzi zinatazamiwa kutangazwa mwishoni mwa mwaka huu na hivyo ujenzi wa bomba utaanza katikati ya 2018 na...
wana jamii forums wote karibuni kiwanda changu kidogo cha kuchapa tshirt, mabango, kofia, banners,
tumsapoti magufuli kwa vitendo..
tanzania ya viwanda iko mikononi mwetu
Habari wakuu..!!
Kifupi nina shida na uhitaji wa kupata mtaji wa kuendesha biashara yangu (operating capital). Nina kampuni changa ya microcredit activities (utoaji wa huduma za mikopo) ambayo...
Habari wadau,
Kuna cement za aina ya rhino na lucky naziona sokoni zikiuzwa kwa 14,000/= na 14,500/= respectively.Je ni nzuri kwa kutumia kutengeneza matofali? Nipeni info kuhusu quality za...
Lets Share; Our Trades, Pips Made, Losses & Profits, Signals, Strategies and Analysis.
This is for Experienced Traders and Newbies.
CC @tallinex, Davion Delmonte Jr.
NB: Naomba Moderators...
“One of the things that amazes me most about trading is that the longer I do it the more I admit that I don’t know. For a very long time I have been convinced that I have no idea where the price...
Habari wana Jf
Nimeonelea kuleta wazo hili linalowahusiana na biashara ya usafirishaji mizigo hasa ya nje za nchi 'Transit Goods' kwenda nchi mbali mbali tuweze kubadilishana mawazo, kusaidiana...
Ndugu wanajamii forum.mm ni mtumishi .nlikopa mkopo benk ya posta.sasa nmepata hela ya kuwalipa mkopo wao.lakini.wanagoma kutoa riba.wanataka nlipe yote.naomba mnisaidie ni sawa .au ni ujanja...
Mm n mwalimu wa shule ya msingi nilianza kaz 2014 mwaka huo huo nikafanikiwa kukopa mkopo ambao unanitesa kwel mpaka sasa mshahara wangu n mdogo Nina madeni kila kona mpaka kazi naiona gunia LA...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair edged higher last week, reaching the resistance line at 1.1900, before the pullback that is currently being...
Hebu tukokotoe faida itakayopatikana kutokana na malipo ya USD 12.5 kwa pipa itakayolipwa Tanzania kutokana na bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
Kutokana na maelezo...
Nahitaji mtu ambaye yuko serious anamalengo na awe mtu asiyependa starehe kupita kiasi awe anajua vzr Biashara
Awe angalau na ml2 jinsia yeyote
Njoo watsapp 0752841018 nikuambie ni Biashara gani...