Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya maendeleo Mzunguko mdogo wa fedha uliopo nchini kwa sasa unaendelea kuzipa Taaasisi za kifedha nchini changamoto ya idadi ndogo ya watu wanaoweka amana kwenye...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za wikeend, na poleni kwa majukumu mazito tuliyonayo kwenye ujenzi wa taifa letu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nimepata fursa ya kuwa agent ambaye nitakua naletewa hizi bidhaa mpya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habari za humu. Naomba ufafanuzi katika hili, Kuna mzigo nimetumiwa na ndugu kutoka UK kuja Tanzania na amelipia kila kitu kuhusu transport cost. Sasa nimepigiwa simu na jamaa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu, Ujasiriamali kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo linalohubiriwa sana. Watu wa kada mbalimbali wamelisemea kama jambo la kher, na matokeo yake mwitikio kutoka kwa watu...
22 Reactions
68 Replies
6K Views
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana...
13 Reactions
76 Replies
16K Views
HABARI ZENU WANA JF. Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo? Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka TAX invoice ya more than Tsh 450.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017...
5 Reactions
109 Replies
8K Views
Nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya ubuyu. Thamani tu ya ardhi kutokana na maeneo zilipokuwa zimejengwa ni kubwa kuliko hata majengo yenyewe. Rais Magufuli ni wazi kuwa analifahamu hili hasa...
2 Reactions
1 Replies
708 Views
Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha? Baada ya hapa...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Habari za kupambana n majukumu ya siku!!! Mm Kama kijana wa kitanzania mwenye afya timamu.Kama mfanyabiashala wa kati ambae riziki yangu c haba kwa kweli. Nimekaa na kutafakali sana mpaka sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono. Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye uhitaji wa Sungura wanapatikana. Kwa mawasiliano zaidi. Tuwasiliane 0789857595 0718957595
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Makampuni ya simu za kiganjani yamekuwa kero kwa wateja wake kwa kutowatendea haki, ni kwa kutoa huduma duni. Kuna kampuni inaongoza kwa usumbufu kwa wateja wake, imekuwa dhaifu sana kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Wadau! Naomba kufahamu soko la mbegu ya vitunguu ndani na nje ya nchi. Naomba kufahamu uhitaji na bei katika maeneo husika.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mpaka sasa nazani hatujaelewa kwa nini Wakina Bil wali Drop Chuo. Wakina Mark Zuckerberg. Hawa jamaa na wengine wengi wao tiyari wakiwa vyuoni walisha anza kuwaza nje ya wanavyo fundishwa...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Ninapo sema telephone business naongelea biashara ya kuendesha kwa simu, wewe ukiwa unawatumikia watu wengine. Kuna telephone Farming na telephone businiess. TELEPHONE BUSINESS. Hiki ni...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Mimi ni mwajiriwa wa serikali, lakini kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikitamani kujihusisha na biashara walau kukuza kipato cha familia. Bahati mbaya sijawahi kujaribu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…