Kujipima maendeleo kupitia wengine inaweza kukudumaza ukarelax hasa pale unapohisi unafanya cha maana kwakuwa tu kuna watu umewazidi, usichofahamu hata kama umewazidi watu kwa maana ya kushindwa...
Kama kichwa cha habari kinavosema location nzuri ipo kwa ajili ya kufungua maabara ya kupimia watu malaria, UTI, typhoid n.k eneo hilo kuna dispensary moja lakin wananchi wote hawana imani nayo...
Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini.
Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea...
Habari zenu,
Ni matumaini yangu ni wazima wa afya njema, kimya kingi ni kutokana na majukumu tu. Nilikuwa na safari ya kuelekea Singida kikazi, mwezi huu.
Hivyo basi, wale wazoefu wa huko wanipe...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
On EURUSD, bull was the clear winner last week. Price went upwards by 210 pips, breaking the multi-month high at 1.1600...
Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal.
Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe...
#USIISHIE_NJIANI
Habari Rafiki Yangu, Leo ni siku nyingine mpya kabisa ambayo unatakiwa uende ukaitumie vyema ili kufikia mafanikio kwenye kile ulichoamua kukifanyia kazi.
Usikubali kuipoteza...
Kama kuna mtu kila anachosema au anachotaka unaitika ndio, bila kuangalia kipo kwenye utaratibu au hakipo, kitaathiri ratiba zako au maisha yako au lah. Huyo mtu ameyadhibiti maisha yako.
Kama...
Aisee watanzania sisi tuna matatizo, nadhani ndo maana tuna sua sua kwenye biashara. Baada ya kuangaika sana na mshikaji kutoka US kutafuta gari mitandaoni (shida haswa ni kuwa gari hazina details...
Natanguriza samahani kwa wale wasiopenda/kutumia kitimoto, WanaJF mimi nataka kuanza mradi wa kufuga kitimoto angalau minimum start wawe 30, ni vitu gani winaitajika tofauti na mtaji mana ninao...
Salaam kwenu!
Naomba msaada kwa wataalamu wa masuala ya kodi, nimejaribu kutafakari kuhusiana na Mawakala wa mitandao ya simu kulipa kodi ya makadirio (presumptive tax) ya mwaka,
Ninafahamu kuwa...
Njia za Moto (Firebreak/lines) ni nafasi iliyopo kati ya uoto au vitu vinavyoweza kuwaka/kushika moto na inayoweza kuzuia au kupunguza uwezekano wa Moto kushika au kuwaka. Njia za moto hutumika...
Cocacola au peps hawa jamaa wana Model yao wanayo itumia nitaelezea kwa Tanzania.
Hawa wanatafuta sarafu pekeee kwenye mauzo yao hawatafuti noti za msimbazi.
TANZANIA KWANZA TUNA PESA...
INTRODUCTION: Hello Traders. The article below is useful for all areas of human endeavors (including trading). Please read it to discover a great secret today. Read between the lines and see how...
Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajiri.
Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa.
Hii picha...
Wahindi ni moja kati ya jamii zenye kiwango kikubwa cha Entreprenership spirt.
Wengine ni kama Waisraeli ambao ndo wenye kiwango kikubwa kabisa cha spirt.
TUWAANGALIE WAHINDI WA HUKU BONGO...
Maendeleo Bank pamoja na wewe. Bank ya Maendeleo leo imezindua promosheni iitwayo Maendeleo pamoja na wewe. Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahim Mwangalaba...
Wakuu bado nafanya utafiti wa kufungua kiwanda cha alizeti naomba wenye uzoefu na hii biashara waendelee kunisaidia. Sehemu ambazo nahitaji kujua zaidi
1 gunia moja ya debe sita mashudu ni kiasi...
Mimi nina fremu nakodisha CD naomba mawazo yenu, je kama nataka kusajili kampuni yangu BRELA nitaisajili vipi, Na je ni faida zipi ofisi yangu itapata kwa kuisajili kampuni yangu BRELA?
Asanteni...
Wakuu za habari zenu kwanza, twende kwenye topic
Nimekua nikifikilia sana kuhusu hili swala na Nina mpango wa kulifanyia research hapo baadae japokuwa kwa akili ya kawaida mtu anaweza akaona ni...