Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

AUS200 Dominant bias: Bearish This market has gone bearish since May and the bearishness has remained till now. There is a huge volatility in the market, which does not push price in a...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Wakati tunasubiri ujenzi wa njia ya reli na upanuzi wa barabara ya Dar _ Chalinze kwa sasa tunaweza kupunguza msongamano kwenye kipande hiki cha barabara kwa kuyaamuru mabasi na magari yote...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kuuza bidhaa tajwa nje ya nchi hasa ulaya na uarabun. Uwezo wangu ni kuexport lita 1200 kwa mwezi. Anayejua nifanyeje kupata soko na taratibu stahiki za kisheria anipe maarifa. Na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Maduhuli ni bidhaa na huduma zinazoingizwa nchini Tanzania kutoka nje ya nchi. Taratibu za maduhuli zinapaswa kufuatwa ili kukomboa bidhaa kutoka Forodhani kulingana na Sheria ya Usimamizi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Soko la ndani ni dogo sababu ya uwezo mdogo wa wananchi kununua bidhaa. Uwezo mdogo wa wananchi kujiwekea akiba inapelekea uwekezaji mdogo na viwanda kutokukua n.k. Ugumu wa upatikanaji mitaji na...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
In SUMMARY Kenya Airways has agreed to inject $10 million into Tanzania’s Precision Air in a bailout plan. The private carrier hopes proposed bailout will boost its turnaround. KQ agreed to the...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Naomba mnisaidie kitaalamu mti wa miaka kumi wa mbao unaweza kutoa mbao ngapi za 1×8 na unakuwa na kipenyo kiasi gani kwa vipimo
0 Reactions
12 Replies
6K Views
1.Kwa wadau waliopo kyela sasa hivi naomba kujua bei ya SUKARI YA MALAWI kwa kg(iliyo vuka daraja) 2.Kwa wadau walioko SINGIDA na MAKAMBAKO sasa hivi, naomba kujua bei ya mafuta ya alizet...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mabilioni na mabilioni ya fedha za wananchi zinaibiwa kila siku na wafanyabiashara kwa njia ya Mizani zisizoweza kupima kile kinachotakiwa kupima. Mara zote Mizani yetu inapima pungufu ya kile...
13 Reactions
39 Replies
8K Views
Tangu mwaka 2014 nilikuwa nahangaika jinsi ya kuweka subtitle za kiswahili katika movie za nje kwa sababu nilipokuwa nyumbani na wadogo zangu nilikuwa napata tabu sana kuanza kuwasimulia kila kitu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold has turned bearish, owing to the protracted bearish movement that occurred in June. Price reached a high of 1295.87 on June 6, and then began to drop...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Ni mawazo yangu tu kuhusu mpango wa Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga uchumi wa viwanda. Tangu mpango huo uanze kumekuwa na hisia na uelewa tofauti katika jamii yetu, kiasi kwamba kuna mikakati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimehangaika kutafuta kwio kwa ajili ya kesho ni balaa kuku anauzwa 15000-20000 heri ya cow meat 6000 Mmmh!
0 Reactions
22 Replies
9K Views
PIGANA NA UMASKINA NA NJAA KWA KUTUMIA SUPER GRO: ANGALIZO: Super gro hutumika sambamba na mbolea pamoja na dawa ya kuua wadudu. Super gro ni bidhaa maarufu sasa duniani na hasa nchi za Afrika...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wanajamvi nisaidien kuna mtu ananishawish aniunganishe kweny hii biashara ya mtandao mm mwenyew siielew vizur ila ananiambia unapata mafanikio haraka na malengo yake ni kwaajil ya kupunguza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Last week, a bullish breakout in this market put an end to the neutral bias on it, which was in place from June 12 to...
1 Reactions
3 Replies
480 Views
Ndugu TRA Tusaidie wenye namba tulipie Kodi ya jengo Tigo Pesa or M-Pesa or Max Malipo ili kutupunguzia foleni benki. Ni mawazo tu
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ninayo hisa 3500 katika CRDB na hisa 3500 ktika NMB. Leo nimepata taarifa kwenye simu ya ngu kuwa nimepata Tshs. 565,000 kama Gawio toka NMB lakini hisa hizo hizo kutoka CRDB nitapata...
7 Reactions
42 Replies
9K Views
Mengi ataja Mafisadi kwa majina
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu salaam Nyingi ziwafikie. Natumai mu wazima wa afya. Kuna fursa nimeiona huku maeneo yetu ambayo naamini itanisaidia kupata hela ya matumizi madogo madogo ila nakwamishwa na suala la Capital...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…