Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, nikiwa mmojawapo kati ya wale wanaojihusisha na XBINARY kwa siku za karibuni imekuwa ngumu kutoa hela M-wallet. Na hii imetokea baada ya kuwa kwenye matengenezo ila hali hii imeendelea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF, Mimi ni mwalimu wa shule za msingi, nimefanya kazi hii takribani miaka 7 sasa tangu 2009 hadi sasa. Pamoja na juhudi kubwa sana za kusaidia kizazi cha watanzania bado...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Maisha hayampangii mtu namna ya kujiendesha bali mtu anayapanga maisha yaendeje baada ya kukaa mda mrefu nimegundua nilikuwa mjinga sana nimechelewa mno kwa kutokuweza kuyatawala maisha lakini...
28 Reactions
55 Replies
11K Views
Ndugu wanaJF, Nipo Spain kwa muda. Ni nchi nzuri na Kubwa ndani ya Ulaya. Watanzania wengi wanaijua sababu ya mchezo wa mpira, Real Madrid, Barcelona FC na kadhalika. Lakini watanzania...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari wana JF. Katika pita pita zangu nimekutana na fursa za uwekezaji katika kilimo, nikaona nilete hapa ili kwa wale watakaoweza kuhudhuria kongamano hili waweze kutuwakilisha watanzania. Ni...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wataalamu wa masuala ya fedha husema, " I - E = i I = Income (uwekezaji) E = expenditure ( matumizi) i= investment (uwekezaji) Kwa tafsiri lahisi ni kwamba kipato cha mtu kutoa matumizi yake...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish The market consolidated from March 3 to 27, and then moved upwards protractedly till the end of March. The bullishness in the market is still being preserved...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Nimeona matangazo mbalimbali yakichagiza wananchi tununue hisa kwenye DSE (Soko la hiza la Dsml) kwa sasa Voda ndio habari ya mjini. Ukiangalia mauzo ya hisa yameshuka toka 33.3bn to 3.3bn...
13 Reactions
128 Replies
13K Views
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano kushoto pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Bw. Ibrahim Mwangalaba wakisaini makubaliano baina ya kampuni hizo mbili...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Niliwahi kusoma juu ya hujuma za shirika la ndege la Afrika kusini kwa air Tanzania na ilivyopelekea kulidumaza kwa kuuza ndege zilizokuwepo kama chakavu na kuimalisha za kwao katika ardhi yetu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo? Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna makampuni ya kuuza na kusafirisha magari ambazo si maarufu kama zilivyo tradecarviews, beforward, sbt, autorec na zingine. Kampuni kama Japan Cars And Trucks Co., Ltd kwangu ni ngeni ila...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu, kama kuna aliyewahi kununua kitu kwa masoko ya mtandaoni ya Tanzania atujuze, na ubora wao au udhaifu wao upo wapi!?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka kufungua chuo kwa ajili ya mafunzo ya kozi fupi(Certificate) zipi ni kozi zenye ajira kwa wingi. Naombeni ushaurii wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya wiki mbili hakuna network hivyo wanashindwa kusajili walipa kodi wapya wenyewe wana dai service provider wao ndio tatizo
0 Reactions
5 Replies
711 Views
Natarajia wiki ijayo nishuke na vito arusha tatizo pale pana madalali wengi matapeli je ni wapi au njia gani ya kwenda kwa mnunuzi moja kwa moja?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu, ningependa kupata kujua ni madini gani yanayouzika kwa haraka Dar kwa bei yenye tija. Ninauliza kwasababu jamaa yangu ana aina tofauti tofauti na ameniamini kwamba naweza kumsaidia kuuza...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni mnipe angalau mfano wa taarifa ya makisio ya mapato na matumizi inayopelekwa TRA inavyokuwa na je huwenda kwa mda gani?
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…