Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD managed to hold out its bullishness last week, in spite of the current short-tern consolidation in the market...
Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara.
Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo?
Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako.
Njia za kutumia Whatsapp...
Habari zenu wanajamvi!?
Wakati tukiingia katika karne ya 22 inayohusisha maendeleo ya sayansi na Teknolojia watanzania wamehamasishwa kuwekeza katika sekta ya sayansi na Teknolojia kwani ndipo...
Naomba kwa aliyeko dar, umri miak 24, mwenye ujuzi wa biashara, ambae yuko tayar kufanya kaz (kujiajiri) awasiliane nami inbox tufanye kaz na awe mwanamke
Habari wakuu.
Nina mpango wa kusajili kijigazeti ambacho nitaweza kushare na wenzangu kila asubuhi juu ya habari mpya na za zamani. Kwa kuwa humu JF ni jungu kuu, naombeni msaada wa hatua za...
Habari za Asubuhi wanajamvi,
Nina imani kuna wafanyakazi wenye ufahamu na jambo hili,
Naombeni msaada wenu,
Nataka kujua ni kiasi gani cha juu kabisa cha mkopo ambacho mfanyakazi anaweza kukopa...
Sielewi Prof. Ndulu na wengine wanaposema uchumi wetu unakuwa. Uchumi wetu unakuwa kivipi ilihali naona watu vijijini bado wako gizani, maji hawana, shule hazina vitabu, na bei ya bidhaa...
Salaam alaykum wapendwa.. naomba kwa yoyote ambae ana ujuzi wa kutumia amazon kama sehemu yake ya kununulia bidhaa kwa njia za mtandao anisaidie procedures zake na namna ya kufanya mzigo...
Nahitaji msaada wa mawazo juu ya wazo la uanzishaji wa biashara ya duka la kuuza na kukodisha CD ikiwepo na tigo pesa lakini kuna jengo ambalo ni sehemu nzuri kufungua kitu kama shule ya watoto...
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake...
Katika kuhakikisha uchumi Wa Tanzania unastawi kampuni ya Vodacom Tanzania imeamua kuunga mkono jitihada za kustawisha uchumi katika ukuaji imara katika sekta ya viwanda kwa kuhakikisha huduma na...
Habari zenu wana jamii F!
Naamini wote wazima,mimi ni kijana ninaependa maendeleo na kujifunza vitu vingi zaidi...
Nilikuwa naomba kwa wanaofahamu() ,naombeni mnifahamishe/mnielimishe kuhusu zao...
Wengi miongoni mwetu wamekuwa wakitaka kujua HISA ni nini, shauku hii imenifanya nidodose kidogo juu ya hisa kwa faida ya wengi. Kwa tafsiri lahisi HISA NI UMILIKI.
Mtu akisema nina hisa NMB...
Habari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa...