8 Reasons To Own Gold
A history of holding its value
Weakness of the U.S. Dollar
Inflation
Deflation
Geopolitical Uncertainty
Supply Constraints
Increase Demand
Portfolio Diversification...
Habari wanaJF,
Hivi inawezekana kutengeneza juice ya miwa na ukawa unaiuza supermarket? Sijawai kuona inauzwa supermarket yoyote ile na natamani nijue process zake za kuhifadhi ili isiharibike.
One of the frustrating things about being a trend follower is that it takes time to overcome the inertia of a new system, particularly if that system is based upon slightly longer time periods...
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama...
Siku zote kuna vitu vinakera lakini kumpuuza mteja kwenye ni Tatizo lenye kuumiza Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Airtel lakini nimeamua kuhama rasmi hawajali kabisa wateja wao. Kuanzia...
1.Fanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo...
Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) itaanza kuuza hisa zake milioni 560 kwa thamani ya Shilingi 850 kila hisa. Mauzo yataanza tarehe 09.03.2017 na...
Ndugu zanguni
Salam sio pesa kwamba nisipo kupa hutaishi
Mwaka 2009 Mungu alinipa chombo cha moto, yani pikipiki,, (mtumba) Lakini kwa bahati mbaya Pikipiki hiyo mwishoni mwa mwaka 2011 ikawa...
Habari ndugi zangu,
Baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio sasa nimeamua nifanye ujasiriamali, nahitaji mtu ambae tunaweza kushirikiana nae katika biashara hapa Dar, jinsia yoyote...
Trading electrical items is the profitable business in Tanzania. And if you put things right this business guarantee 100 percent your money back within a reasonable period of time from setting up...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair trended downwards on March 13 and 14, testing the support line at 1.0600. From the support line, price rose by...
Wadau wa biashara,
Naombeni msaada wa umuhimu au faida nitakazozipata kwa kufungua business account yan akaunti ya biashara benki ila kabla ya hilo je naweza kufungua as a personal? Yan binafsi...
Niwatoe hofu wanajamii wote, hakuna sheria wala katiba duniani inayomlazimisha mtu kuhamia benki moja kwenye nchi, katika biashara kila mtu ana test zake, benki aliyoitaja mkuu wapo wanaoipenda na...
Miezi mitatu na nusu sasa inatosha kukupa picha ya muelekeo wa maisha yako kwa mwaka huu wa 2017.
Hakuna siri wala huitaji nabii kukutabilia December mwaka huu itakuwaje, kama hautafanya kitu...
welcome Ladies and gentleman our Group
Buy and sell here
Get opportunities
Learn about entrepreneur
Welcome
Welcome
Follow this link to join my WhatsApp group: Opportunity&Entrepreneur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.