Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair trended downwards from Monday to Thursday and then rallied significantly. This has resulted in a bullish bias...
Ndugu wanajamvi msaada kwa kipi cha kufanya ili kuweza kufanya usajili wa jarida /magazine.
Nataka kufanya ujasiriamali kwa uzalishaji wa magazine ni nn cha kufanya ili niweze kucomply na kuweza...
Bei ya sigara pakti nzima ni shilingi ngapi kwa sigara pendwa hapa nchini naomba mwenye kuelewa anisaidie hapa tafadhali.
Nikipata bei ya pakti za sigara kampun zote zilizopo nchini ntashukuru...
Can someone lend me 200k?, we will get to know each other then tutapatana nirudishe mkopo kidogokidogo kama ukipenda.
I'm a young girl..sina mtu specific wa kumtegemea.na umri unaenda..i need to...
Wakuu natumai wazima,
Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri...
Kawa sasa mikoa ya Arusha na Moshi ambapo vitunguu vinalimwa kwa wingi kumeanza kuwa na mafuriko ya vitunguu masokoni. Wakulima wanakosa wamuuzie nani. Serikali imediscourage exports hasa kwa...
Habari wanajamiiForum popote pale mlipo Duniani,
Kwa wale mnaotaka kuwekeza ama kufanya biashara ya chakula namaanisha "Mgahawa"au "Hotel" nawakaribisha kuja kuwekeza Au kufanya biashara Hiyo...
Kila kitu kina faida na hasara zake.Hata hivyo lile lenye hasara nyingi ni vyema kulishtukia mapema ili kusiwepo na mrundikano wa hasara.
Teknolojia za malipo ya kielektronik zimesaidia pakubwa...
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TCCIA Investment PLC bi Magdalena Mkocha akizungumza na wafanyabiashara mkoani Lindi katika ukumbi wa Double M humo.Bi Mkocha alisema TCCIA Investment ilianzishwa...
Njia za kutimiza malengo yako:
Njia hizi zilisemwa na LEO BABAUTA mwandishi mashuhuri wa vitabu marekani na mmiliki wa blog ujilikanayo kwa jina la ZEN HABITS ila mimi nimezielezea kwa uelewa...
Nisaidieni, ni Benki gani ambayo ukiingia tu wahudumu wanakukimbilia kama mpira wa kona na vilevile wana huduma za kuingiza na kutoa hela kwenye account kupitia MPESA? Juzi nimetoka kurenew kadi...
Ndugu zangu salaam.
Baada ya kutafuta sehem ya kufanya kazi ( teaching) bila mafanikio nimeamua kwenda Chunya kuangalia fursa ya kuchimba madini ili kujikwamua kiuchumi.
Kwa wanaofaham mambo...
Habari za alasiri hii wadau?
Nimeona hii fursa, japo kilimo cha bangi ni haramu hapa kwetu, lakini naona kuna nchi nyingi sasa ikiwemo Israel, Jamaica, Argentina, Australia, Canada, Cambodia...
Habari zenu wakuu,
wakuu naomba ushauri au mwongozo kutoka kwa watu wenye uelewa au uzoefu wa mambo ya madini, nina eneo langu kama ekari 40 morogoro na nina eneo jingine kama ekari 30 huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.