GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
Gold trended upwards in January and February 2017. Price topped at 1263.61 on February 27 and then began to pull back. The pullback is significant, (about...
Habari zenu wadau,
Dah hii iko vipi kuhusu ukamataji wa bodaboda kwenda posta yaani ukipita na pikipiki tu wanakamata especially pale salendar bridge kwa sisi ambao tunafanya biashara ndogo...
Habari wana Jukwaa.
Nimekuwa nikifanya survey sana kwenye hii mitandao ya kusaka Laptop kwa ajili ya matumizi binafsi.
Kuna product ukiipenda, kuna kitufe cha kuwasiliana na...
Ukiweza kupata biashara moja itayo kulipia kodi ya nyumba, kukulisha, kusomesha ndugu zako wawili watatu, kukutoa out kila weekend, kukuvalisha, kulipa madeni yako yote basically kwa biashara...
Nina FURSA 4 ,za biashara naziweka ubaoni mwenye kufit katika biashara mojawapo tuwasiliane:
1. Business collaboration:
Kampuni ya kitanzania imepata soko la korosho ,biashara yenye thamani ya...
Jamani wana jf ningependa kutangaza kwa mara ya mwisho kwa anayetegemea kuanzisha biashara ya Vinywaji kama Grocery,utapata kila kitu kwa 1.5mil only..
Hii inajumuisha Freezer, spika 2 za mziki...
Salama wakuu,
Ninamshukuru Mungu mimi ni mzima na sina ulemavu wa aina yeyote. Nimekaa nikawaza kitu fulani baada ya kuona manyanyaso wanayoyapata walemavu kwenye suala la ajira hata kujiajiri...
Habari wakuu,poleni na majukumu nafahamu kwa muda huu bado wengine wapo kwenye majukumu ya kujenga taifa ila naomba utakapopita hapa acha comment yako kwa kile unachoelewa kuhusu hii kitu...
Rais wa Chemba ya Biashara,viwanda na kilimo, Ndibalema Mayanja, amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mikoa ya Mwanza na Kagera kuchangamkia soko la awali la hisa za TCCIA Investment PLC...
Heshima kwenu wadau,
Kuna kiasi nimepata hapa, nahitaji kuwekeza katika hizi biashara za Maxmalipo na Selcom, kwa wazoefu tupeane ujuzi ipi ni bora na kamisheni zake ziko vipi.
Karibuni.
Opportunity for all people who are in mining sector, Click the link below to download and fill registration form
Conference: Business Trip of German Mining Industry to Tanzania
Business opportunity : we need Black Clay,10,000 tons. Transportation is on the buyers. if anyone
has please quote price together with pictures.
thanks and appreciate your quick response.
Nimependa kupata mawazo kutoka kwenu wanajamii forum kuhusu namna mbalimbali za kuwekeza pesa yaani pesa kutengeneza pesa kwa njia ya riba, kodi, kawio , nakadhalika ndan ya Tanzania.
Mfano Mimi...
According to a recent report by the World Bank (WB) titled “Africa’s Cities – Opening Doors to the World”, the total economic value of buildings in Dar es Salaam is estimated at around UDS12...
Kila siku nimekuwa nikiona Wachumi wetu kadhaa wakisema huku wakituonyesha kupitia data kuwa Uchumi wa Tanzania umekuwa lakini nikiangalia maisha halisi ya Mtanzania hayahakisi kile...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD went downwards last week, tested the support line at 1.0500, and then rallied significantly on Friday. Actually...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.