Wakuu habari zenu.
Nimeona kuna demand mkoa flani hivyo ninahitaji kufanya bussiness ya karatasi. Kuna mtu anafahamu humu wapi wanaweza kuwa wanauza karatasi kwa bei ya jumla apart from yale...
Online markets kama Kupatana.com, zoomtanzania.com, jumia.co.tz, n.k. sio tu mitandao hii imeleta masoko ya bidhaa mbalimbali viganjani mwetu pia imesaidia kuokoa muda ambao ungetumika kufwata...
Kufuatia hali ngumu ya uchumi iliyoikumba nchi yetu Tanzania na kupelekea wengi wetu kufilisika na kufunga biashara ,na hali hii mbaya imetukumba siye wafanyabiashara wadogo tu, matajiri huwa si...
Ebu fikiria dada anayechoma mahindi maeneo ya manzese darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku, kwa siku moja ana uwezo wa kuchoma mahindi 50. Kila hindi moja ananunua shambani kwa shilingi...
UGUMU WA MAISHA HUANZIA AKILINI MWAKO.
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 usiku, kwa siku moja anauwezo wa kuchoma mahindi .50. Kila...
Habari zenu wakuu mimi ni mfanya biashara wa stetionary na Money Transfer(tigo pesa,airtel,voda na luku)hivi sasa mtaani kwetu biashara hii imeingiliwa kila mtu akifungua biashara anacopy na...
Wakuu niliweka malengo ya kwamba, ikifikia mwezi wa nne mwaka huu niwe na mil 6, kwa ajili ya kuanza biashara ya kuuza vyakula vya majumbani kama vile nafaka za aina mbalimbali, mafuta ya kupikia...
Technology for street traders in Tanzania: A design science research approach
The informal sector employs the major part of workers in developing countries. Street trading is a common form of...
Inaonekana kuwa takribani miaka kadhaa inayofika hapo mbeleni watanzania wengi watakuwa kwenye dimbwi la umasikini na hata kukosa direction ya maisha yao.
Elimu inayotolewa Tanzania humfanya mtu...
Habari wakuu,
Swala la Ujasiriamali ni swala gumu sana na watu wengi hujichanga mashahara wake wa miaka hata 5 ili aanze project, Mtu hujinyima kula, kustarehe na mambo mengine ili tu akusanye...
Naamini mnaendelea vema na shughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi.
Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine...
Wakuu naandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana. Kama vijana tunajitahidi sana kujiajiri lakini mambo ni magumu sana huku mtaani. Biashara zinazorota sana huku mfumuko wa bei ukiendelea...
wakuu haber zenu.
apa nilipo nina sh. 50,000 sasa nataka kuzalisha nipate pesa ya kuishi ...naombeni wazo la biashara..nifanye biashara gani ili niwezi kufanikiwa? kwa sasa nina ishi mbeya...
Nina eneo la ekari moja na kisima kirefu mita 180 chenye maji mengi na safi. pia nyumba 2 kwa uzalishaji. Natafuta partner tuzalishe maji ya kunywa. mwenye interest na ujuzi karibu. nipo Mbezi...
Please in case there is any TRA expert, can let me know what are goods/luggage stuffs that a returning resident is obliged to pay while coming back from abroad.
TRA website has tiny information...
Nini ukwamisha hatua za kimaendeleo katika biashara yako.
Na Frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku
Wakati fulani nilizungumza juu ya namna ambavyo waweza kuchukua hatua za kimakusudi ili kufikia...
Jameni wakuu,
Ningependa tujadili swala hili kwa umakinifu bila kupendelea upande wowote, hivi kati ya Africa ya mashariki na ya magharibi ni ipi iko katika nafasi nzuri kujiendeleza kimaendeleo...
Habari zenu wanajamvi,
Mwenzenu nimeamua niache kazi niliyoajiriwa nikajiajiri mwenyewe kutokana na sababu kubwa moja ya kutopenda kutumwa yani nikitumwa nachukia pia wafanyakazi wenzangu...
Habari wana JamiiForums,
Nimepata wazo baada ya kufanya utafiti kidogo na kugundua kwamba katika kipindi hichi soko limekuwa tatizo sana kwa kila biashara, kampuni au watu hapa nazungumzia bidhaa...
Naomba msaada kwa anaejua malighafi zinazotengeneza kiberiti cha njiti na gharama za mashine zake na mahitaji yote yanayotakiwa mpaka kiberiti kukamilika. Pamoja na jinsi ya kutengeneza toothpick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.