Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila Akitoa Mada kwenye Mradi wa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali kupitia Taasisi ya Manjano Foundation. Mafunzo hayo yalianza wiki...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari kinavyosema maana nina biashara nahitaji kujua mtaji wangu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote. Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk...
1 Reactions
8 Replies
13K Views
Karibu kwa jumla na reja reja. Tumeshusha mzigo toka Shamba. Tupo tandare sokoni. Ewe mkazi wa jiji la dar popote ulipo . tupigie 0682665574 au 0765054826... Huna aja ya kwenda temeka mzigo uko...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Wadau habari za mihangahiko. Nimebahatika kusoma kitabu ambacho kinaelezea financial discipline and opportunities nikaona kitu kinaitwa Roth IRA je wewe wakijua?? Baada ya kusoma zaidi nikagundua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wanaofahamu na waliowahi kusafiri kwenda china je kuna biashara ya simu used na kama ziko bei za simu kama IPHONE 6 IPHONE 6S IPHONE 6S PLUS na nyingine za juu yake mwenye uelewa naomba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, Kutokana na kufurika kwa soko la ndani la kitunguu kwa msimu huu,nimegundua hakuna namna zaidi ya kupeleka nje ya nchi. Kampala inasemekana wana bei nzuri ila tatizo sijui lolote hapo...
3 Reactions
79 Replies
13K Views
Hapa pananichanganya sana, bado sijaweza kujua kutambua dollar moja ni sawa na shilingi ngapi ya Tz mana huwa naona watu huandika viwango mbalimbali, kifupi nahitaji kujua jinsi ya kutambua...
0 Reactions
27 Replies
15K Views
Habarini za sahizi wana JF, Kuna Tangazo hapa nimelisikia Kuhusu HISA, Na wanasema kwamba HISA moja unapata kwa 400/=Tsh. Naombeni ufafanuzi wana JF Kuhusu HISA, Ipoje?? Nini faida...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa natarajia kuanza biashara ya kuuza nguo za kike na ningependa kuagiza nguo online kwa Kutumia mtandao wa Ebay.Nimependelea Ebay kwa vile iko na vitu vizuri sana vya wanawake nivipendavyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu akibadilishana nyaraka na Rais wa Chamber ya Biashara ya Uturuki Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) inatajia kufanya ziara ya Kibiashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilianzisha thread kuzungumzia hizi online media zilizochipukia siku za karibuni naona ilifutwa bila sababu yoyote ile. Anyway nilichokuwa nauliza je kuna nafasi au fursa kwa zingine kuja kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ya Hitler yauzwa $243,000 katika mnada Marekani
1 Reactions
1 Replies
838 Views
Wakuu, Nataka nunua vitungu swaumu kwa bei ya shambani vinapatikana mkoa gani? Bei zake zikoje. Naomba mnijuze
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa kitaa kwetu Nyamalango vyakula baadhi ya maduka na magenge bei ni juu Nyanya Moja ndogo 200-300 Unga Dona 1300 Sembe 1500-1600 Mchele 1900-2200 Sugar 2400 Mafuta Lita Moja (Korie) 3500...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mishahara ya watumishi imeshuka ghafla baada ya bei ya unga kufikia sh 2000, ile ya maharagwe kufikia sh 3200 kwa kilo na kodi ya mapato kubakia palepale. Kwa vyovyote vile mishahara...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Kma ilivyo ktk kicha habari. nina hitaj home music system. budget yangu Tsh. 350,000 nipo mwanza. Je! nitapata?
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Umeenda shule ya msingi, umejifunza kusoma, kuandika na hesabu, ukaenda sekondari ukapewa maarifa mengine yawe ya sayansi, sanaa, biashara n.k Umeingia mtaani unafanya mambo yako mengi tu lakini...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wataalamu kwa kuangalia kwa macho tu haya yaweza kuwa madini gani? Kama ni madini ya aina yoyote yale ukigundua nicheki DM au whatsapp +255785956171 ni muhimu sana , najua huku nitapata msaada.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi kwa yeyote anayejua kilipo chuo cha Sound Engneer kwa dar au mtu anaefundisha awasiliane na mimi 0622977872. Asant
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Back
Top Bottom