Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hili ndo swali nililokutana nalo mara tu baada ya kushuka kutoka kwenye mwendokasi "mminyano". Nilishangaa kuona Kariakoo ipo kama jumapili wakati leo ni siku ya kazi. ...' we hebu fikiria mtu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Naomba kujua utaratibu wa kuweka bango barabarani bila kuvunja sheria.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha biashara hii ya mafuta ya mawese niwe nayatoa Kigoma mpako mikoani ila sijajua nianzie wapi mwenye idea kuhusu biashara hii anipe mawazo pa kuanzia pia kama kuna mtu atakayehitaji...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Utengenezaji wa brand umebadilika sana kulinganisha na hali ilivyokuwa zamani,na hii inachangiwa na ukuaji wa teknolojia na ufanyikaji wa dunia kuwa kijiji hivyo hali hii imepelekea hadi mfumo...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua ni utaratibu na vigezo gani nahitaji kufuata ili kuendesha biashara ya fumigation katika kampuni yangu.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Niaje Wadau, Nataka kutoa somo fupi sana. Tanzania tunazo rasilimali nyingi sana na tunamshukuru Mola kwa utajiri huu. Unaweza kufaidika moja kwa moja (direct) au kwa namna nyingine isiyo ya moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by Michael Malakata 15.04.2010 | IDG News Service After several delays, the East African Submarine Cable System (EASSY) project has come closer to completion following the landing...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau, Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vyakula vya mifugo mfano pumba, dagaa, damu, mashudu ya alizeti na ya pamba n.k. Nishaurini nianzie wapi, mtaji mzuri ni kiasi gani, na vitu hivi...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za ijumaa wakuu. Naombeni mnisaidie kujua kama Tanzania kuna online mobile payment gateways, kama ilivo kenya wana Pesapal, jambopay, and ipay (i think). Shukrani sana.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair went south last week, testing the support line at 1.0500, and then bouncing upwards on Thursday and Friday...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Africa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser akieleza Matumizi Sahihi ya Vipodozi vya Luv Touch Manjano Kwenye Semina ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish While this market went bearish in January, it went bullish in February. In the context of an uptrend, price was corrected last week, and then started March on a...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Habari zenu wapendwa, hope mko poa. Nimekuja mbele yenu nahitaji kusaidiwa kimawazo na kupata connection. Kuanzia mwaka jana mwezi wa 8 nilianza kufanya research kuhusiana na Tatizo la dawa za...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Kama unataka kununua bidhaa za biashara kutoka nchi za nje, kutoka Ulaya, American, Asia, Middle East countries na India, nipo hapa kukushauri na kukusaidia uweze kupata bidhaa za bei...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania, ina vyumba 5 vya kulala ambapo itakugharimu shilingi milioni 22 kulala hapo kwa usiku mmoja. Hoteli hii inakadiriwa kuwa na ukubwa wa...
15 Reactions
92 Replies
26K Views
Ikiwa ni fursa kwa watu kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Bado serikali inaruhusu wageni wengi kuajiriwa kwenye hivyo viwanda, Wazalendo wanalipwa ela kidogo sana, nini kifanyike watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka mtu aje na ushahidi wa kutosha kama ni kweli au si kweli otherwise mjadala huu sasa ufungwe watu mkafanye kazi. Tumeshachoka sasa maneno mengi. Nisikie sasa mtu anacomment thread yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom