Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mfumuko wa bei za bidhaa unazidi kuongezeka nchini Kigoma unga kilo 25 unauzwa 40000, mchele kilo 1800, maharage 2000 huku debe la mahindi linauzwa 20000 mpaka 21000.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni. Ahsante
0 Reactions
49 Replies
17K Views
Nataka niazishe biashara ya kuuza nguo mtumba na vitu vingine mtandaoni, naomben ushauri wenu wadau
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kupitia jukwaa hili miaka miwili iliyopita nilipata mwongozo wa jinsi ya kuanzisha ujasiriamali kwa kupitia magari ya Suzuki Carry .Huu ndio ulikuwa mwongozo niliowaomba Naomba...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Shirika la viwango Tanzania ,kazi zao hazionekan na hii inanifanya nsione umuhim na ufanisi wa utendaj kazi wao ,Leo asubuh naenda dukan kununu sukarr nakutana na sukar fake ,sukar inapackage na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu baada ya kufanya claim ya VAT South Africa(SARS) malipo yanakuwa katika cheque au vipi? Na ni benki zipi za TZ zinazo process malipo baada ya kupokea cheque au any payment...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish From Monday to Wednesday, this pair went downwards, moving below briefly below the support line at 1.0550. Price then...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Naomba ushauri wanaJF, Natarajia kununua miti mia mbili yenye umri wa miaka minne kwa bei ya sh 760,000/=. Biashara itafanyika kwa kutuma pesa kwa M-pesa mimi ntaenda kuiona Mwezi wa sita. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Quality Group facing eviction from building it once owned THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Public Service Pension Fund (PSPF) has moved to evict Quality Group Limited from its Quality...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wandugu Heri ya mwaka mpya, naamini Mungu ametuvusha salama. Somo liko juu hapo Mwaka huu natamani kuanzisha biashara ya Nguo, Simple shoes na Mikoba ya akina dada. Nataka kupeleka kwenye hiyo...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Baada ya Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa kutangaza kuanza Ujenzi wa bandari kavu ktk eneo la Ruvu, Mlandizi, hakika jambo hilo ni hatua kubwa sio tu kupunguza msongamano lakini pia utachochea...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ushauri tafadhali, Kwa kiasi hichi ukiwa na maeneo ya mashamba na viwanda, naomba projection forecast na mchanganuo wa haswa kwa kiasi hichi kiwanda gani kinafaa maeneo ya Moshi na mchanganuo wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kumekuwa na taarifa kuwa Waziri Mkuu amepiga marufuku utumiaji, uuzaji na uzalishaji wa viroba kwa maana ya packaging. Sasa swali la msingi ni kuwa hawa watu wenye stock kubwa ndani ya hivi vitu...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Habari wadau. Nimeacha kutumia Akaunti yangu iliyopo Barclays Bank kiasi cha mwaka mmoja sasa. Kinachonikera, kila saa moja asubuhi natumiwa sms kwamba salio langu ni tzs 0.00. Nilienda Barclays...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Jamani kwa wale wanaofahamu hivi uchumi wa TZ kwa sasa unakua au unashuka?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa naomba msaada wanu juuu ya Kujua jinsi ya kuanza biashara hiii ya kuuza chakula,nakupenda sana lakini sijui wapi pa kuanzia na mtaji ni nilionao ni sh.m.1 tuu.naombeni msaada wapendwa ili...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
*JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI?* Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako 2.Umebeba vinyongo...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu na uwezo/kuifahamu hii biashara natafuta mtu mwaminifu wa ku share kuingia ubia na kufanya hii biashara kwa ufanisi wa hali ya juu.kwani tatizo langu ni...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
I was having a catch up with my good mate and uber cool pad holder Jarrod yesterday – we both share a fascination with human performance. We are both interested in what we can get out of the...
1 Reactions
0 Replies
434 Views
Habari zenu wanaJF hope niwazima,naamini umeshakutana na hii concept kwamba ili upate fedha, utajiri, mafanikio lazima ugundue tatizo katika jamii na ulipatie suluhisho. Maana yake nikuwa ukiweza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom