Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
Habari za jioni ndugu
Katika gazeti la mwananchi wameripoti kuwa kumetokea kupanda kwa bei unga wa sembe kutoka 700 mpaka 2200 kwa kilo moja. Hali inayopelekea kutokea ugumu wa kula ugali na...
Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu...
Kijana tambua kuna kushiriki na kushirikishwa Je katika utaratibu wako wa maisha yako ya kila siku ukigawa mawazo na utendaji wako katika % wewe ni mshikriki au mshikishwaji....?
katika muktadha...
Habar wakuu? nafanya biashara ya samaki aina ya sato na sangara toka mwanza.. target ni kuongeza soko kwa kuuza samaki nje ya mwanza.. kwa wale mlio nje ya mwanza fursa hii tufanye kazi kama kweli...
Habar ya week-end wanajf, Kuna siku nilipita mtandaoni, nikakutana na habar ya kuanzishwa Kwa shindano la ujasiria Mali vyuon, naomba mwenye taarifa kamili anipe ufafanuzi tafadhar
Tanzanian capital Dar es Salaam’s real estate has been ranked ahead of Nairobi and Addis Ababa in the World Bank’s latest cities report, which cites land fragmentation and weak property rights as...
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..
Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula...
Habari wakuu naipenda JF naona ni jengo la maarifa.
Kuna mtu aliniambia nisipende kuweka fedha zangu bank muda mrefu bila kuziwekeza,vinginevyo zitaathiriwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa...
1. Rais Benjamin Mkapa hadi anaondoka madarakani ktk ile miaka yake kumi unga wa ugali ulikuwa tsh 400/= kwa kilo KWA HAPA DSM
2. Rais Jakaya Mrisho anapokea kijiti unga...
AUS200
Dominant bias: Bearish
The market was mostly bearish in January, and that was strong enough to bring about a bearish outlook on the market. Although volatile, price has not trended...
nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.