Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

eti wataalamu naweza kununua hisa za laki 3 au mpaka bulk money pekee maana nimekosa pa kuzipeleka kwa sasa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani kuna maswali naomba kuuliza kuusu hizi share...hivi tunaponunua IPO baada ya hapo hela si zinatumika kama mtaji na ss tunapewa sehemu tuu ya umiliki inayobaki DSE tukibaki tunauziana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuimport samaki kutoka Mwanza, sasa natafuta eneo ambalo nitakodisha fremu. Naomba kufahamishwa eneo ambalo limekaa kibiashara na ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani kuna mtu anajua kuhusu hiyo taasisi, wasije wengi kulia kama deci.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu.. Naomba kwa anaye Fahamu hivi jengo la Nssf pale Capri point Mwanza Nani or company gani ita run ile Hotel..
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Niende wapi nahitaji mkopo dhamana ardhi ya Shamba au ujenzi.nipo dar ardhi morogoro
1 Reactions
0 Replies
572 Views
Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta mtu yeyote aliye siriaz ambaye tunaweza tukafanya nae biashara. Namaanisha mtu ambaye ana mradi au biashara yeyote halali...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
nataka kufungua a/c CRDB ila sijajua gharama ya kufungua a/c ama kujiunga na CRDB Gharama ni shilingi ngapi? Na vigezo jee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa cha habari juu, Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa...
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Wakuu, Hiki kitu huwa najiuliza sana, kwanini Tanzania hatuwezi kufanya kazi kwa vikundi na vikafanikiwa sana, ninachozungumzia hapa ni ndugu au watu mmekutana mkaanzisha kundi na mkatafuta...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtoaji The Hilden Charitable Fund, ni Taasisi isiyo ya Kiserikali ya utoaji wa ruzuku (Grant Making) iliyoko mjini London nchini Uingereza Maeneo ya mradi Taasisi itatoa ruzuku kwa miradi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi:- 1. Acha tabia ya kuahirisha mambo. Kama kuna jambo au kitu unachotakiwa kukifanya leoleo ni vizuri ukafanya kuliko kukiacha na kutegemea...
63 Reactions
93 Replies
23K Views
Heshima kwenu marafiki Nahitaji kujua namna navyoweza kupata machine ya selcom, nipo wilaya ya Kinondoni, Tafadharini naombeni msaada kwa wanaojua namna ya upatikanaji pamoja na vigezo na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba maoni yenu, nilikuwa naangalia gharama za kusafirisha mzigo wa kilo 40, cha kushangaza mzigo wenyewe haufikii hata hiyo bei ya kusafirisha, hakuna njia zingine za kusafirisha kwa gharama...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The bias on this pair is currently bullish. Price managed to go upwards last week, reaching the resistance line at...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Wadau naomba kujua kama kuna kampuni za kimataifa zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu! Benki zetu zimekuwa za kinyonyaji kutokana na riba kubwa. Kama zipo naomba kupatiwa ushuhuda wa hayo!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau ili halina ubishi kwamba soda inayouza sana kwa sasa hapa nchini ni Pepsi, Kumkuta mtu anakunywa Coca ni nadra sana! Je pepsi walifanya jitihada gani kuipiku Coca cola..je ni mbinu za...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Nataka kufanya hii biashara. Naomba mwenye experience aniambie cost ya mashine zile za umeme za kuchanganya na kufyatua tofali za block. Pia gharama za kutengeneza ya mabox ya mbao. Yani naomba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Una bishara fulani sasa unapenda kuiweka kwenye mtandao iwe kama ebay/alibaba, nachoomba kujuzwa hapa 1. faida ya hii biashara ya e commerce 2. changamoto za hii biashara 3. hizo website za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom