Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau wangu wa ukweli mnisaidie kuhusu hizi mashine za umwagiliaji bustani: 1. Zipi zenye ubora kati ya Honda na Kingmax? 2. Namna ya kuitambua waterpump...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Vodacom is to issue shares worth up to Sh500 billion in its planned initial public offer (IPO) - the highest in the history of IPOs in Tanzania. Sasa ndugu wataalam wa DSE shares naomba tujadili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nitaanzaje kuwa dalali wa vyumba, mashamba au mazao? Naomba ushauri.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hakika viongozi wetu hebu kuweni wakweli kwenye mambo ya msingi. Nakumbuka mwaka jana baada ya Bunge la bajeti ilionekana Serikali imepitisha muswaada wa kulipia VAT kwa watumiaji wa simu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu! Hali imekuwa mbaya biashara hazifanyiki, nauliza utaratibu wa kuuza EFD mashine ambayo imetumika, utaratibu ukoje? Naamini wapo wajuzi humu
4 Reactions
1 Replies
985 Views
Jamani watu wa Mvomero mitiki inayovunwa hapo Mtibwa inalipiwa ushuru kweli? Maana inapitshwa handeni na kupelekwa bandarini Tanga. Wakati huo halmashauri inadai haina fedha za kulipa madeni ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mihangaiko wana jamvi nimejikusanya nimenunua land cruiser hard top sasa nataka niigeuze itumike kwenye kazi za utalii sasa sijui wapi wanafanya maboresho ili iwe ndefu kidogo kama zile...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara Naomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Salam kwenu! Naomba kufahamishwa makadirio ya gharama kuanzia kusajili Jina la biashara BRELA hadi kupata TIN number inagharimu shilingi ngapi? Mfano ni kwa biashara ya Stationery. Regards!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went flat from Monday to Wednesday, not being able to stay above the resistance line at 1.0750. Price then...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Kampunia ya simu Tanzania TTCL imezindua huduma ya 4g/LTE Mwanza. Tumeona speed yenu kwa kweli nimeinjoy leo baada ya kununua line yenu, lakini tunaomba huduma hii ambayo imezinduliwa kwa maeneo...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi ni mtumishi wa umma na shida na hela kama milioni tano au sita. Naomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuiliwa kutoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanauchumi na biashara naombeni tugawane ujuzi. Katika kuhangaikia ununuzi wa mashine kwa njia ya mtandao nimekutana na vitu hivyo. CIF hii ni cost insurance flight ambayo imeonekana kunifaa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani choo cha stendi ya daladala pale Morogoro mapato yake yanadhibitiwa kweli? Au ni kuwanufaisha wakusanyaji mbona hakuna risiti pale na ukipewa risiti unapewa iliyopita muda wake kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
Nipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba mwenye ufahamu wa hii is it worth it? ≠====== TCCIA Investment Company envisages to raise 45bn/- through initial public offer in six months beginning February 1st. Je TTCIA ni potential?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
55 Reactions
102 Replies
13K Views
:israel:Wana JF; Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Mgololo Mufindi kuna kiwanda kikubwa cha karatasi na Mufindi kuna mashamba makubwa ya miti yanayoongoza Afrika yote lakini chakushangaza materials zote produced zinakua exported to Kenya then From...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
kwenu wana jf...nina idea za biashara, bt sijui jinsi ya kuandika business proposal. mchango wa mawazo ya jinsi ya kuandaa business proposal. Help mi out hea.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom