Hili swala la machinga kuzagaa kila penye upenyo katika miji mbalimbali halitaifikisha nchi hii mbali kiuchumi.
Tuchukue mfano wa nchi kama Rwanda ambayo umekuwa na utaratibu mzuri wa kuwatengea...
Wakuu mwenye uelewa anisaidie.
Naomba kujua gharama za kuchimba kisima chenye urefu (kina) cha mita 85 katika wilaya ya Mkuranga maeneo jirani na kimanzichana.
Natanguliza Shukrani
Tougher...
Wakuuu,nimejaribu kupitia nyuzi mbalimbali zinazohusu power tiler lakini nyingi ni 2012 kurudi nyuma. Pia watu wengi wameshamaliza mizigo hiyo. Sio kwamba hazipo mtaani,zipo ila bei si rafiki...
Habari zenu jamii,
Naombeni mawazo yenu na ushauri,
Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
Since we all know that in each economic fluctuations there's a business opportunity or idea can up. However as for our current situation here in tanzania what kind of business can succeed...
Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la...
Kimsingi nimechoka kuwavumilia CRDB katika huduma yenu ya Automatic Teller Machine (ATM) ambayo imekuwa ni jambo la kawada kwa Benki hii kukata mtandao katika ATM kuanzia mida ya saa kumi na mbili...
By Charles Nduku
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakidhani ubunifu ni kada ya watu fulani wenye elimu kubwa ya chuo kikuu ambao ndiyo hasa wanatakiwa kuuishi.
Wanasahau, neno ubunifu linasimama...
Habari wana bodi,
Nimejaribu kufuatilia kwenye website ya wizara ya maliasili na utalii kuhusu muongozo wa kuanzisha zoo ila sijapata.
Naomba kujua namna mfumo mzima wa kuanzisha zoo.
Gharama...
Kama ni mtazamaji au msikilizaji wa clouds fm na clouds tv utakuwa umeshaona kampeni mbalimbali ambazo hawa jamaa huzianzisha,kuzipigia debe sana mpaka zinaingia vichwani mwa watu ktk jamii.
Iwe...
Wakuu poleni kwa majukumu yakila siku iko hivi mwaka Jana nilikua na plan zakufungua biashara lakini kutokana na changamoto za hapa na pale nilishindwa, lkn Mungu mwema nimejitahidi mwaka huu...
hi JF members,
if you like looking good in nice unique sunglasses please visit and follow our page bv90_sunglasses on instagram for killer shades.
perfect to wear even at night, nice frame...
kitendo cha serikali kushikilia pesa zote na kugawa kidogo kidogo kulingana na maombi ya taasisi zake na pesa inayoombwa sio kwamba hizi taasisi zinapewa kiasi hicho , hupewa kidogo na kuambiwa...
Afya kwa ujumla wake inahitaji jicho la karibu na kupewa Kipaumbele. Miundo mbinu ya tiba na dawa inahitajika kupewa kipaumbele. Badala ya kupeleka wagonjwa nje tuwe na mkakati wa miaka mitano...
Nimefuatilia sana wafanyabiashara wadogo wadogo (Magenge ya Matunda, unga, n.k.) wengi wao hulamba vidole kwa Mate yao na kuufungua mfuko wa plastiki.
Inatia kinyaa na kusababishiana maambukizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.