Wazee nimewaza sana juu ya namna mambo yetu Tanzania yanavyotofautiana sana na mambo ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi. Bahati nzuri nimeshawahi kuishi kwa muda kwenye baadhi ya nchi...
Kuna kipindi pumba huwa nyingi mijini na huuzwa kwa bei ya kutupwa, naomba ushauri kwa anayejua nawezaje kuongeza thamani kwenye pumba ya mahindi angalau nikapate chochote.
Habari wana JF,
Nimekua nikiumia sana na uharibifu unaofanywa na watu kwenye uoto wetu wa asili. Nina wazo la kuanzisha non profit organization itakayo kua ikitoa elimu kwa vijana na jamii kwa...
Kama kichwa kinavosema,
Jamani wahangakaji wezangu mimi sio mjasirimali ila nataka niaze biashara ila nataka mzigo wa biashara nichukulie nje ya Tz.
Nikikuwa naomba jinsi gani mnaweza kunisaidia...
#CountDown #MilioniYaZiada.
Zimebaki siku 17...
KWA NINI WEZI HAWATAJIRIKI...
Watu wengi wamekuwa wanashangaa watu wanaiba fedha nyingi, lakini bado wanaendelea kuwa wezi maisha yao yote.
Siyo...
Wadau,
Naomba mwenye mchanganuo ama ujuzi au uzoefu wowote wa kuexport ndizi nje ya nchi. Nataka kuanzia biashara hii niwe nanunua ndizi hapa nchini na kuzisafirisha kuziuza ulaya.
Bei za nje...
Kwa sasa naona kila mjanja wa mujini anaanzisha kiwanda cha maji,
saizi hapa nimeagiza maji wameniletea maji ya ....(jina kapuni) chupa linanuka uvundo na kwa chini ndani kama kuna chengachenga...
Ndugu zangu nahitaji kufanya biashara ndogondogo ya tigopesa na vitu vingine
Nawezaje kupata leseni ya biashara na vingine vinavyo takiwa kama Tini number?
Naomba msaada ndugu zangu
Hivi kama mtu una channel ya kuleta wawekezaji toka Iran kuna zengwe lolote serikalini?
Jamaa ninadeal nao na naona wako straight kuliko waarabu wa Saudia, UAE na kwingine
Nishafanya nao...
Ni dhahiri kwamba kutokana na kukerwa na huduma mbovu za Vodacom wateja wengi wameuhama mtandao huu na kuhamia mitandao mingine.
Mfano nina wateja wa vodacom 110 kwenye simu yangu. Kati yao, 92...
Wadau,
Naomba watu wenye uzoefu wa biashara katika hii nchi wanipe uzoefu, je ni biashara gani toka Tanzania inalipa huko, je toka huko naweza leta nini Tz? Sera zao za biashara zikoje? Vipi...
Hivi wadau, unaweza kufungua vodashop yako private isiyomilikiwa na kampuni ya Vodacom.
2. Kuna hatua gani za kufuata.
3. Unahitajika uwe na mtaji kiasi gani?
3. Pia unatakiwa uwe na vitu gani?
Mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na nusu ya watu duniani
Mabilionea wanane matajiri zaidi duniani
1. Bill Gates (US): mwanzilishi wa Microsoft (utajiri wake $75bn)
2. Amancio Ortega...
Ndugu zangu,
Hili limenitokea napenda kuwapa tahadhari wale wote wanaofikiria kwenda kununua mbao buguruni wawe makini. Mimi nilikubaliana bei vizuri na muuzaji na kweli mzigo ulikuwa mzuri, pia...
Habari wana JF.
Natumia Kila mmoja Wenu yuko vizuri.
Mimi nahitaji mtu wa kunishauri nifanye biashara ipi kuanzia mwezi April kwa mtaji wa TZS 70,000.
Sijawahi kufanya biashara na wala sina...
Vijana wengi nnaokutana nao na kuongea nao husema "Fedha ya mtaji ninayo ila wazo la biashara sina" au "Sina fedha ya mtaji ndo maana siwezi kujiajiri". Kijana katika makala hii najaribu kujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.