Ndugu zangu,
Nilikuwa nahitaji kufahamishwa kwa mwenye kufahamu wapi walipo mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG katika mkoa wa Dar es Salaam.
Ahsanteni
Nafanya kazi kwa mtu toka 2012. natafuta mkopo 15m. na take home 1m na naweza kulipa 500,000 kwa mwezi. ninadhamana ya shamba 3acres lenye mkataba wa mahakamani. LINA MAJI NA GARI INAFIKA. benki...
Wakuu,
Nataka nianze kuuza bidhaa online ila nataka niwe nauza kupitia Jumia lakini sijaelewa ni hatua gani natakiwa kufuata.
Je, nifate procedure gani?
Habari,,,,,,,
Naombeni kufahamishwa Jinsi ya kujiunga na Internet banking (CRDB) na je? Zip code au postal Code Za kusajiri Online payments, ni lazima kuwa connected na internet banking!!? Kwa...
ndugu zangu JFs nawaomba ushauri
nina ndugu yangu amekua akiniomba sana nimsaidie jinsi ya kufanya biashara kwani ameona nimefanikiwa kuendelea nazo na yeye amekua muoga sana kupoteza pesa, sasa...
Nisaidieni kupata Mkopo wa Milioni 10, naweka rehani ya shamba la hekta 10, lipo Mvuti - Msongola- Ilala- Dar es Salaam- Km 7 kutoka JNIA na Km 5 kutoka AZAM Stadium, halijapimwa, lipo kando ya...
hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana...
Tanzania’s inflation rose to 5.0 percent in the year to December, up from 4.8 percent the previous month, pushed up by an increase in food prices, the National Bureau of Statistics reported on...
Karibu katika kuongeza kipato cha kila siku kwa kutumia simu yako kwa watumiaji wa internet wa kila siku
Fuata Link ifuatayo kuongeza dola 10 kwa kila mtu
http://jamiiforums.com/?refcode=95111
Wapendwa,
Nilifanya online business name registration kwa BRELA toka 13/12/2016 lakini hadi leo bado hawajafanya clearance ya business name. Namba ya simu waliyotuwekea ukipiga haipokelewi na...
Habari zenu wakuu,
Nnimeanza na kupanda papai hybrid za miezi sita heka moja, baadae pasheni and etc. Kikubwa nahitaji kufika soko la nje, procedures za Tanzania na nchi za ughaibun kwa biashara...
Habarini wanajamii forum wenzangu Leo nimekuna naubishana na jamaa Fulani juu ya uwezo wa kukopa Pesa katika taasisi za kifedha hasa hasa katika mabenk kwa dhamana ya kiwanja hivyo naomba kwa...
Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara wa mboga mboga.. cabbage,sukuma wiki,Chinese nakadhalika...huu ndo mda wako wa kupiga hela kama wale wazee wa kubet...sijui wale vegetarian wameongezeka au...
Wakuu naomba kupata mawazo na ufahamu wenu kuhusu hizi taasisi za kifedha ambazo hutoa mkopo kwa watumishi wa umma kwa utaratibu wa kuwataka wateja wao kuacha ATM cards ili wao wajichukulie fedha...
Wana JF na wakazi wa Kigamboni, kiribuni sana katika yadi ya maegesho iliopo ferry karibu sana na kanisa la Lutheran.
Kwa wale wanaojali muda wao wa kazi na wasiopendelea kukaa foleni ya kivuko...
Habari zenu..
Nakopesha pesa kwa riba.
Riba ni asilimia 10 kwa mwezi.
Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa.
Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi...
Habari zenu wakuu,ningependa kuchukua fulsa hii kuwataarifu kuwa mabenk yameanza kutoa tena mikopo kwa watumishi wa umaa,leo nimepokea msg kutoka bank ya Posta ambako nilisubmit maombi ya mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.