Habari wana forum,
Nataka nikaanze kuhakiki TIN number kwa ajili ya driving license yangu. Ila nimepoteza ile karatasi yenye TIN number wakati napewa license 2014 na nakaribia kui renew license...
Heshima yenu wakubwa,
Naombeni kufahamishwa mbinu za kuanzisha mbinu za e-commerce kama Amazon, Alibaba na kibongo bongo kama Kupatana.
Nipeni msaada wa je kuanzisha na kuendesha kwake huwaje na...
Wana JF,
Kama tunavyojua kua hali imekua ngumu na wapiga deal sasa ulimi nje, yaani hawaja surrender lakini wanakomaa na Auncle Magu sasa kinachotokea baada ya posho kufutwa katika taasisi nyingi...
Salaam nahitaji mawasiliano ya wauzaji wa chaki za shuleni wanaouza kwa bei ya jumla naomba kwa wauzaji au mtu anayefahamu zinako patikana anifahamishe asante
Wadau habarini za asubuhi
Mimi ni mtumishi wa umma, nahitaji mkopo wa si chini ya milioni kumi (mil 10). Basic salary ni Tsh 710,000 na take home salary Tsh 514, 860. Benki niliyokuwa naitegemea...
Wanauchumi na wafanya biashara, karibuni hapa tujadiliane, mfano uki invest milion mbili, inatakiwa irudi kwa muda gani ( maximum time) ili kidogo uonekane ni uwekezaji condusive na ni...
AINA YA BIASHARA WAWEZA ANZISHA
KWA MAFANIKIO:
Biashara na dunia ya digitali yahitaji mengi maarifa ya kuwekeza ili kukubakisha katika mfumo ,nimeshuhudia mamia ya watu wakirudi
katika umasikini...
Katika setup ya biashara ili kila kitu kiende vizuri lazima kuwe na "efficient business processes". "Business process" ni jinsi vitengo mbali mbali ndani ya kampuni vinavyofanya kazi kwa lengo la...
Heshima yenu wakuu,
Naomba kujua gharama za kukodi helicopter from dar to Bukoba na ni makampuni gani yanatoa hiyo huduma hapa Tanzania? Mzigo unaoruhusiwa kuubeba kwenye helicopter huwa ni kiasi...
Ndugu zangu samahani, naombeni mwenye taarifa sahihi wa wakala anayesafirisha mzigo toka China hadi Tanzania kwa bei nafuu.
Mara Yangu ya kwanza kununua mzigo China lakini nakumbana na changamoto...
Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?!
Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
Taarifa za baadhi ya Mabenki nchini kuyumba zinashtua. Benki ya CRDB hali so shwari kutokana na kuyumba kuuchumi Na wakopaji kutolipa Mikopo yao Kwa wakati.
Nadhani mtikisiko huu utayakuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.