Mhandisi Cosmas Kinasa akizungumza machache wakati akifunga rasmi semina ya ujasiriamali ya "Manjano Dream-Makers" kwa wanawake wa mkoa wa Mbeya akimwakilisha meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya. Mafunzo...
Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI
Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar...
WanaJF, na hasa wenye kitengo hiki cha biashara naomba ushauri wenu kuwa nifungue account kwenye bank ipi maana kampuni yetu ni changa na katika kukua tutahitaji mikopo toka bank husika...
Nimeona hii ripoti nikaona heri kuileta humu, Ndugu amka chapa kazi
Tanzania created 200 new dollar millionaires in 2016, a new report shows, sending out a picture that the government's cost...
Soko la mpira ni miongoni masoko yenye faida kubwa ya rejesho kwa wanahisa wake wote!!! Jiulize kwanini matajiri wakubwa huchagua kuekeza kwenye soko la mpira kwa mfano mohamed dewji na simba...
Jamani mi nataka kufungua duka la dawa
Kuna shekhe mmoja kaniambia Nyota yangu sio ya kukaa Dukan
Jaman nauliza eti biashara inaendana na nyota???
Hapa nimechanganyikiwa nimeshanunua...
Kutoka na kuongezka kwa matumizi ya shilingi ya sarafu 50, 100, 20 na 500 madukan, sokon, kwenye shell ,machine za kusagia na nauli nini maana yake yan not zimekua chache sana kiasi kwamba...
Hi Friends, wakubwa kwa wadogo..
Mimi ni kijana mpambanaji sema napata changamoto sana kwny life currently.
mimi nimegraduater certain university na niko home tu kwa sasa...
nna ujuz sana wa...
Kwa mliosoma masomo ya biashara na uchumi pia na wale ambao ni wafanyakazi wa makampuni ya simu yanayofanya kazi Tanzania hata nje ya Tanzania leo nina swali kwenu kama ifuatavyo.
Binafsi natamani...
Habari wadau wa JF,
Nilikuwa naomba msaada + Ushauri wenu,
Nina Pc, Printer pamoja na kamtaji kadogo lengo kubwa ni kutaka kuwa msambazaji na muuzaji wa movies pamoja na series kwa bei ya jumla...
Ameamua kuwekeza sehemu ambayo wawekezaji wote waliikwepa. Wengi wanapenda kuwekeza sehemu yenye uchumi mkubwa na miundombinu iliyokamilika. Uchumi wa kusini bado haujachangamka, hivyo lazima...
Mimi naona dawa ya kuokoa misitu yetu ni kuchakata gesi yetu ifae kwa matumizi ya nyumbani na iuzwe bei rahisi kabisa ili watu wasione tena umuhimu wa kupikia makaa ya kuni
Sijui kwa nini hili...
Wadau usiku huu leo nimekereka sana na wahudumu walio zamu Vodacom huduma kwa wateja M Pesa. Yaani unapiga simu 100 unachagua kuongea na mhudumu unawekwa kwenye foleni then mziki unakatwa maana...
Ndugu zangu Mimi ni mgeni kwenye mambo ya kibenki kuna rafiki yangu nafanya naye biashara na ilitakiwa mwezi ulioisha anipe milioni nne ila toka tarehe 28 hadi Leo ananiambia kuwa cheki...
habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
Wadau,
Nina wazo la kuanzisha chuo cha hotel na utalii au kufungua mgahawa na bar kubwa but sina mtaji, je kuna bank ambayo inaweza kunikopesha angalau 20 milioni kwa kuweka dhamana vyeti vyangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.