jamani kuna maswali naomba kuuliza kuusu hizi share...hivi tunaponunua IPO baada ya hapo hela si zinatumika kama mtaji na ss tunapewa sehemu tuu ya umiliki inayobaki DSE tukibaki tunauziana...
Habari wadau,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuimport samaki kutoka Mwanza, sasa natafuta eneo ambalo nitakodisha fremu. Naomba kufahamishwa eneo ambalo limekaa kibiashara na ni rahisi...
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta mtu yeyote aliye siriaz ambaye tunaweza tukafanya nae biashara. Namaanisha mtu ambaye ana mradi au biashara yeyote halali...
Wadau kama kichwa cha habari juu,
Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa...
Wakuu,
Hiki kitu huwa najiuliza sana, kwanini Tanzania hatuwezi kufanya kazi kwa vikundi na vikafanikiwa sana, ninachozungumzia hapa ni ndugu au watu mmekutana mkaanzisha kundi na mkatafuta...
Mtoaji
The Hilden Charitable Fund, ni Taasisi isiyo ya Kiserikali ya utoaji wa ruzuku (Grant Making) iliyoko mjini London nchini Uingereza
Maeneo ya mradi
Taasisi itatoa ruzuku kwa miradi...
Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi:-
1. Acha tabia ya kuahirisha mambo.
Kama kuna jambo au kitu unachotakiwa kukifanya leoleo ni vizuri ukafanya kuliko kukiacha na kutegemea...
Heshima kwenu marafiki
Nahitaji kujua namna navyoweza kupata machine ya selcom, nipo wilaya ya Kinondoni,
Tafadharini naombeni msaada kwa wanaojua namna ya upatikanaji pamoja na vigezo na...
Naomba maoni yenu, nilikuwa naangalia gharama za kusafirisha mzigo wa kilo 40, cha kushangaza mzigo wenyewe haufikii hata hiyo bei ya kusafirisha, hakuna njia zingine za kusafirisha kwa gharama...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The bias on this pair is currently bullish. Price managed to go upwards last week, reaching the resistance line at...
Wadau naomba kujua kama kuna kampuni za kimataifa zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu! Benki zetu zimekuwa za kinyonyaji kutokana na riba kubwa. Kama zipo naomba kupatiwa ushuhuda wa hayo!
Wadau ili halina ubishi kwamba soda inayouza sana kwa sasa hapa nchini ni Pepsi, Kumkuta mtu anakunywa Coca ni nadra sana!
Je pepsi walifanya jitihada gani kuipiku Coca cola..je ni mbinu za...
Nataka kufanya hii biashara.
Naomba mwenye experience aniambie cost ya mashine zile za umeme za kuchanganya na kufyatua tofali za block.
Pia gharama za kutengeneza ya mabox ya mbao.
Yani naomba...
Una bishara fulani sasa unapenda kuiweka kwenye mtandao iwe kama ebay/alibaba, nachoomba kujuzwa hapa
1. faida ya hii biashara ya e commerce
2. changamoto za hii biashara
3. hizo website za...