Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nataka kujiunga na gpsa ...... any assistance appreciated thanks On office supply and stationary field
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Hili swala la machinga kuzagaa kila penye upenyo katika miji mbalimbali halitaifikisha nchi hii mbali kiuchumi. Tuchukue mfano wa nchi kama Rwanda ambayo umekuwa na utaratibu mzuri wa kuwatengea...
1 Reactions
5 Replies
945 Views
Wakuu mwenye uelewa anisaidie. Naomba kujua gharama za kuchimba kisima chenye urefu (kina) cha mita 85 katika wilaya ya Mkuranga maeneo jirani na kimanzichana. Natanguliza Shukrani Tougher...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Wakuuu,nimejaribu kupitia nyuzi mbalimbali zinazohusu power tiler lakini nyingi ni 2012 kurudi nyuma. Pia watu wengi wameshamaliza mizigo hiyo. Sio kwamba hazipo mtaani,zipo ila bei si rafiki...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari zenu jamii, Naombeni mawazo yenu na ushauri, Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Since we all know that in each economic fluctuations there's a business opportunity or idea can up. However as for our current situation here in tanzania what kind of business can succeed...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kimsingi nimechoka kuwavumilia CRDB katika huduma yenu ya Automatic Teller Machine (ATM) ambayo imekuwa ni jambo la kawada kwa Benki hii kukata mtandao katika ATM kuanzia mida ya saa kumi na mbili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
By Charles Nduku Wajasiriamali wengi wamekuwa wakidhani ubunifu ni kada ya watu fulani wenye elimu kubwa ya chuo kikuu ambao ndiyo hasa wanatakiwa kuuishi. Wanasahau, neno ubunifu linasimama...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana bodi, Nimejaribu kufuatilia kwenye website ya wizara ya maliasili na utalii kuhusu muongozo wa kuanzisha zoo ila sijapata. Naomba kujua namna mfumo mzima wa kuanzisha zoo. Gharama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama ni mtazamaji au msikilizaji wa clouds fm na clouds tv utakuwa umeshaona kampeni mbalimbali ambazo hawa jamaa huzianzisha,kuzipigia debe sana mpaka zinaingia vichwani mwa watu ktk jamii. Iwe...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Wakuu poleni kwa majukumu yakila siku iko hivi mwaka Jana nilikua na plan zakufungua biashara lakini kutokana na changamoto za hapa na pale nilishindwa, lkn Mungu mwema nimejitahidi mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
hi JF members, if you like looking good in nice unique sunglasses please visit and follow our page bv90_sunglasses on instagram for killer shades. perfect to wear even at night, nice frame...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
kitendo cha serikali kushikilia pesa zote na kugawa kidogo kidogo kulingana na maombi ya taasisi zake na pesa inayoombwa sio kwamba hizi taasisi zinapewa kiasi hicho , hupewa kidogo na kuambiwa...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Afya kwa ujumla wake inahitaji jicho la karibu na kupewa Kipaumbele. Miundo mbinu ya tiba na dawa inahitajika kupewa kipaumbele. Badala ya kupeleka wagonjwa nje tuwe na mkakati wa miaka mitano...
1 Reactions
0 Replies
372 Views
Nimefuatilia sana wafanyabiashara wadogo wadogo (Magenge ya Matunda, unga, n.k.) wengi wao hulamba vidole kwa Mate yao na kuufungua mfuko wa plastiki. Inatia kinyaa na kusababishiana maambukizi...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Nina uwezo wa kufanya investments 80 mil.shillings kwa ushirika naomba mwenye kujua mradi unaofaa. Iwe Dar au mkoani
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…