Jana nilinunua kifurushi cha internet cha shilingi 500 kupitia mtandao wa Vodacom nikapewa mb 130.
Leo tarehe 24, Januari nimenunua kifurushi cha internet kwa shilingi 500 nikapata mb 70...
KUNA UKWELI GANI KUHUSU MAELEZO HAYA:-
Hio link inakupatia dola endapo utadawnlod na ukidownlod unapata link yako unamtumia mwingine unazidi kupata dola halafu mwisho wa mwezi utaelekezwa sehemu...
Ninauza Asali mbichi ya nyuki wadogo kutoka kigoma, nusu Lita tsh.15,000 iko packed , ni nzuri ma inatumika kama dawa,chakula na ubora Wa mwili,, karibuni , napatikana dar as salam Morocco au...
Wakuu.mm ni driver Na pia ni mjasiriamali naanda kampuni yangu ya food processing soon itakuwa released naomba kuunga mkono juhudi za vijana wa Tanzania ili nchi ya viwanda iweze kusaidia...
Habari zenu wana jamvi, Naomba niweke mezani hili jambo tuweze kisaidiana Kwa mawazo.
Nadhani wote mnafahamu hii Biashara ambayo watu hufanya mjini katika mikoa tunayoishi, Biashara ya kuuza...
Askofu Mkuu wa Diosisi ya Mashariki na Pwani wa kanisa la KKKT Dkt Alex Malasusa Amewaasa wafanyabiashara na watanzania kwa ujumla kujifunza njia sahihi ya kuhifadhi akiba kwenye mabenki ili...
Salaam,
Mimi ni msichana mwenye miaka 25, nina elimu ya diploma nipo Dar es Salaam. Nimeamua kijiajiri kwa kuanzisha biashara ya matunda mchanganyiko na kupeleka maofisini.
Nimelileta kwenu...
Ni kweli maprofesa wengi hawataki utajiri?
Binafsi nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sana. Kwani nakumbuka nikiwa mdogo mama aliniambia ukitaka maisha mazuri fanya bidii katika...
Je, umekuwa mwoga wa kujiajiri? Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kujiajiri sharti uwe na mtaji fedha tena mtaji mkubwa? Je, unajua mtaji mkubwa tayari unao?
Mimi sikuhiaji mtaji fedha...
Nipo Tabora siku ya pili leo nimeshangaa kwa mara ya kwanza mwaka huu mchele umepanda ghafla toka 800-16000 na Kuwa 1600 hadi 2300.
Kuulizia sababu naambiwa kuna wafanyabiashara toka Kenya...
Habari za jumapili wanajf I hope mko poa na jumapili inaenda salama,
Jamani ee Mimi nataka kwanza biashara ya kuuza vifaa vya Umeme huku mitaani kwa rejareja nimepata kamtaji ka laki 6 wa...
Mradi huwa na mafanikio pale unapofikia/timiza malengo yake mahsusi na pia lengo kuu (project objectives/Project goal) na kukidhi matakwa ya wadau (meeting stakeholders’ expectations) kwa maana...
Wadau,
Mimi si mtalaamu katika maswala ya uchumi ila elimu niliyonayo na uzoefu wa kibiashara vinanipa maarifa ya kuchangia kuhusu kushuka kwa thamani ya Tsh dhidi ya USD.
Kwa uzoefu na maarifa...
Mimi ni Mtumishi wa umma, nina shida na hela kama milioni tano au sita.
Nnaomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuuliwa...
Habari wana jf. Mimi ni mfanyabiashara wa duka la rejareja Mbezi kimara, sasa nilichokiona kwa sasa katika biashara ni kila mteja akija anakuja na elfu kumi au elfu tano...