Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani? budget 6000UsD
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari Wakuu, Kifupi mimi wafanyakazi wenzangu tuna umoja ambao tuliuanzisha haswa kwa lengo la kusaidiana katika masuala mbalimbali ya kimaisha kama harusi, msiba na kujifungua mtoto. Sasa...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Nina kampuni ya Ujenzi ambayo nataka iwe pia inafanya consultancy works ambazo hazi-relate na mambo ya Ujenzi. Je nilazima niwe na leseni ya biashara ya kazi hizo ambazo nataka kuzifanya?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dhana ya fedha haiko katika ile karatasi unayoishika yenye namba za thamani yake. Fedha yoyote unapoikea unaenda kuitumia hata kama sio moja kwa moja lakini wewe ni mwakilishi tu wa hilo karatasi...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Hivi tuwaelewweje nyie wamiliki wa mitandao? hasa AIRTEL ambayo mie nimetumia sijajua CHEKA katika hili! Ndo nini mnatuambia ukijiunga na kifurushi then unaweza piga mitandao yote kwa hicho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Mi ni mzalishaji wa bidhaa za chakula hasa sembe, mchele brown na white (mbeya kyela), maharage nk. Ningependa nipanue wigo wangu, natamani kufanya biashara na kenya na sudani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Hivi bajaji za ivi zishaingia Tz, mi bado sijaziona ila bila shaka zimekaa poa sana. Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa kutoka nje hiyo bei yake apo kama sijaelewa vizuri...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Kuna huu mfumo wa crypto currency ambao unaleta sura mpya katika financial markets na katika digital money. Kwa yeyote mwenye uelewa zaidi wa mfumo huu na how it works...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Mfano nimenunua bidhaa 100,000, nikiweka gharama zingine inafika 103,000 na nimeuza bidhaa hiyo 120,000 na kupata faida 17,000. Je, VAT itakuwa 18% ya 120,000, yaani 21,600?. Au itakuwa 18% ya...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Katika siku za hivi karibuni tangu mwaka 2011 na kuendelea ndipo teknolojia ilikua kwa kasi nchini. Maana yangu kubwa ni kwamba teknolojia ni ajira kubwa sana kwa sasa hapa mjini. Je unajua...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Za mchana wadau? Nilikuwa napenda kujua au kufahamu zaidi kuhusu hii biashara faida na hasara zake na masoko yakoje? Nina eneo Kibamba kama acre mbili.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Leo nikiwa kivukoni basi la mwendokasi limeondoka kivukoni huku Dereva wake akipaza sauti kuwa hasimami kituo chochote mpaka Kimara Mwisho huku akiacha abiria wengi kituoni. Najiuliza kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadu, naomba anayefahamu anijulishe bei kwa unit moja ya maji ni Tsh. ngapi. Maana ninahisi ninafanyiwa mchezo mchafu na mamlaka ya maji safi na maji taka.
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Habari wakuu. Biashara ina matabaka makuu matatu kulingana na ukubwa wa mtaji ; 1/Wafanyabiashara wakubwa 2/Wafanyabiashara wa kati 3/Wafanyabiashara wadogo. Wale wadogo uhitaji utafiti kidogo tu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Link hiyo apo tupitie kwa makini afu tutoe mchango wetu kwa facts na data. IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nina 15m. Mfukoni nataka niiweke katika biashara, katika kauchunguzi nilikokafanya nimegundua wilaya hii ninayoishi hakuna studio kubwa za kuprint photographic images...so I want...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Salama wakuu, Natafuta partner ambaye tunaweza kufanya uwekezaji katika shamba langu. Shamba lipo Arusha wilaya ya Monduli na lina rutuba nzuri kwa kilimo ufugaji na uzalishaji. Natafuta mtu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…