Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana forum, Nataka nikaanze kuhakiki TIN number kwa ajili ya driving license yangu. Ila nimepoteza ile karatasi yenye TIN number wakati napewa license 2014 na nakaribia kui renew license...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
mie nna kiuwezo cha shiling milion 10 mwanishauri nianze biashara gani?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima yenu wakubwa, Naombeni kufahamishwa mbinu za kuanzisha mbinu za e-commerce kama Amazon, Alibaba na kibongo bongo kama Kupatana. Nipeni msaada wa je kuanzisha na kuendesha kwake huwaje na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Kama tunavyojua kua hali imekua ngumu na wapiga deal sasa ulimi nje, yaani hawaja surrender lakini wanakomaa na Auncle Magu sasa kinachotokea baada ya posho kufutwa katika taasisi nyingi...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Kama uko Arusha, Moshi na maeneo ya Jirani tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa jinsi ya kutambua faida na mtaji wakati wa kumaliza kuuza chakula (mama lishe)l
1 Reactions
3 Replies
859 Views
Msaada: Kuna mtu anaewajua watu au kampuni inayoaminika DUBAI unaoweza kuwapa mzigo wako wakuletee DSM
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Samahani wanajf naomba msaada juu ya jina la kifaa kinacho tumika katika kusafisha picha za camera na sim
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Salaam nahitaji mawasiliano ya wauzaji wa chaki za shuleni wanaouza kwa bei ya jumla naomba kwa wauzaji au mtu anayefahamu zinako patikana anifahamishe asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf Natumaini mko poah. Nataka kujua gunia moja la viaz mviringo kwa daresalam shiling ngapi?. Nakaribisha majibu
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wadau habarini za asubuhi Mimi ni mtumishi wa umma, nahitaji mkopo wa si chini ya milioni kumi (mil 10). Basic salary ni Tsh 710,000 na take home salary Tsh 514, 860. Benki niliyokuwa naitegemea...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Wanauchumi na wafanya biashara, karibuni hapa tujadiliane, mfano uki invest milion mbili, inatakiwa irudi kwa muda gani ( maximum time) ili kidogo uonekane ni uwekezaji condusive na ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
AINA YA BIASHARA WAWEZA ANZISHA KWA MAFANIKIO: Biashara na dunia ya digitali yahitaji mengi maarifa ya kuwekeza ili kukubakisha katika mfumo ,nimeshuhudia mamia ya watu wakirudi katika umasikini...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Katika setup ya biashara ili kila kitu kiende vizuri lazima kuwe na "efficient business processes". "Business process" ni jinsi vitengo mbali mbali ndani ya kampuni vinavyofanya kazi kwa lengo la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu, Naomba kujua gharama za kukodi helicopter from dar to Bukoba na ni makampuni gani yanatoa hiyo huduma hapa Tanzania? Mzigo unaoruhusiwa kuubeba kwenye helicopter huwa ni kiasi...
4 Reactions
36 Replies
12K Views
Ndugu zangu samahani, naombeni mwenye taarifa sahihi wa wakala anayesafirisha mzigo toka China hadi Tanzania kwa bei nafuu. Mara Yangu ya kwanza kununua mzigo China lakini nakumbana na changamoto...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?! Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Lim paper 1 =9000 Counter book 4= 3500 moja Na vingine ofa hii inasambazwa mashuleni tu kwa punguzo hilo na vifaa vingine vya shule
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Taarifa za baadhi ya Mabenki nchini kuyumba zinashtua. Benki ya CRDB hali so shwari kutokana na kuyumba kuuchumi Na wakopaji kutolipa Mikopo yao Kwa wakati. Nadhani mtikisiko huu utayakuta na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Kuna Uwepo wa Asali ktk Mazingira Nilipo! Niko Meatu Kibiashara na Pia nina Biashara Tabora! Ebu Nipeni ya Lita Moja kwa Dar na Mwanza Ikoje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…